Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sifa za wakata tiketi .
Unaringaga dahI heard No trouser fit to contain, your body na package 😀
Uwe unawahi kuondoka au uwe na bodaboda wako, kwa me kama inawezekana 🤣 🤣Kiongozi na kinachoumaga ni muda wa kuondoka muda ukianza kwenda sana unawaza muda huu nitapata daladala kweli🤣🤣🤣
Watu watakodisha magari hawaji wao kama wao . Yaani . Hadi nguo watu wata semana hadi basi all in all . Acha tu hadi isheUwe unawahi kuondoka au uwe na bodaboda wako, kwa me kama inawezekana 🤣 🤣
Naunga hoja.Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!
Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kwanini iwe ngumu kiasi hicho?Watu watakodisha magari hawaji wao kama wao . Yaani . Hadi nguo watu wata semana hadi basi all in all . Acha tu hadi ishe
We unataka nikupoteze kwenye matank ya mafuta weweWe jomba muoga Sana🤣, we ka vipi tukutane ferry kigamboni.
Ntakuwa pale karibu na pa kupandia.
Sawa mama 😍😍HApana mie sijali naipenda tabia yangu
Sikia basi usi pende kuni ambia vitu vya ajabu Sana.Unaringaga dah
Brother Sina maneno mengi, ila kuwa makini Nisije ambiwa mi ni gaidi.We unataka nikupoteze kwenye matank ya mafuta wewe
uje na mpwayo MwachiluwiLazima twende tuwakilishe, kiwalo ninacho☺️
Weeeee 🤣 🤣 cram full, Jobless vikupite vingineI heard No trouser fit to contain, your body na package 😀
Thank you babe I like that😍 Iko Simpo na Inapendeza!
Am just doing a small imagination, in the so called Jobless mode of mine🤓Weeeee 🤣 🤣 cram full, Jobless vikupite vingine
Labda utembee na ngazjBrother Sina maneno mengi, ila kuwa makini Nisije ambiwa mi ni gaidi.
Ntakupiga hiyo shingo🤣🤓
Bro naiweka 100k, uki nishinda urefu nakupa 🤣🤓.Labda utembee na ngazj
Kaka hata kama ni mrefu uwezi nizidiBro naiweka 100k, uki nishinda urefu nakupa 🤣🤓.
Na ukiwa mfupi, naku pasua makofi mbele ya Charles kilian
Tuseti location, vigezo na masharti kuzingatiwa.Kaka hata kama ni mrefu uwezi nizidi
Yani laki ndio ya kuvunja privacy yangu? Faaaaaala kweli kweliTyseti location, vigezo na masharti kuzingatiwa.
Uki nizidi urefu, una beba 100k, niKi kuzidi urefu ni makofi na bakora 50.
Shahidi Charles kilian