All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

🤣🤣 naomba kuwa kituo cha kuuza tiketi


Evelyn Salt nitakununulia twende
Sifa za wakata tiketi .
1.. Wasiwe shepless
2.. wasiwe na vitambi
3... wasiwe wakimya wajue kuwaintertain wateja
4. Wasiwe na sura kama za baba zao
5. Sura isiwe mbaya hadi inakataa make up wasiwe na makomwe na pia wawe wananywele ili hata wasukiwe mawigi.

Je kati hizo zote bibie sifa unazo??
 
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.

Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!

Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Naunga hoja.
Twende Amboni
 
_c30166a7-45a3-4262-b427-23f1f8461cf9.jpeg


Cc: Mahondaw at the party...
 
Back
Top Bottom