All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Si ww bina wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au unataka kumpa mtu ubini, mie simooo sitaki kutolewa connection bure mie nikakufa na mipresha panda nishuke.

Mbona usemi habari za partyπŸ˜‚
Eeh ww utavaa nin kwenye party au kaunda suti ya kitenge cha ccm mbele kwa mbele?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila nyie mmeamua kunikondeshea ndugu yangu.!!!
Sawa tena nimeona mmeungana kumsimanga
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Momy unanijua kabisa mim sio mnafki.
Sijawai kua na mahusiano nae, yule alikua ni rafiki angu kama wewe, na watu wengine humu ndani.

Mim nataniana na watu wengi sana humu ndani tena ukiangalia unaweza sema huyu dada malaya sana na nawaheshimu sana sana sana.

Nazani hapo umenielewa mama angu
 
Back
Top Bottom