All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila nyie mmeamua kunikondeshea ndugu yangu.!!!
Sawa tena nimeona mmeungana kumsimanga
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Momy unanijua kabisa mim sio mnafki.
Sijawai kua na mahusiano nae, yule alikua ni rafiki angu kama wewe, na watu wengine humu ndani.

Mim nataniana na watu wengi sana humu ndani tena ukiangalia unaweza sema huyu dada malaya sana na nawaheshimu sana sana sana.

Nazani hapo umenielewa mama angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…