Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sasa hivi n brother ila baadae tunakuwa brazzers unaanza kuniita nusu manara.Brother ishi Sana, we ndugu yangu wa ukweli🤓🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi n brother ila baadae tunakuwa brazzers unaanza kuniita nusu manara.Brother ishi Sana, we ndugu yangu wa ukweli🤓🤒
I swear jamani, nothing ka hiyo Isha tokea.Shem yaani huwezi amini ni kwamba ELFU tatu,nimeshindwa kumalizia nalia huku🥹🐒
Ile kitu sio pow yan una meza mahindi mazima mazima😅😅😅Loshorooo🤣🤣🤣
Usilie sana shemeji, ukilia utawaliza wengi 😂Shem yaani huwezi amini ni kwamba ELFU tatu,nimeshindwa kumalizia nalia huku🥹🐒
Kaka kwani huwa Ina kuuma Sana🤔🤓.Sasa hivi n brother ila baadae tunakuwa brazzers unaanza kuniita nusu manara.
Ule umevaaje turingishie nao umepigwa moto?Tuone kesho mnakimbilia uzi gani🐒
😁😁😁
😂 sijibuKaka kwani huwa Ina kuuma Sana🤔🤓
Kaka niweke wazi??, nijue tuna amua vipi 🤒🙏😂 sijibu
😅😅😅 you better be there.Kama binti kiziwi atakuepo,count me in,
Kumbe wewe mkorofi ndg?Kaka kwani huwa Ina kuuma Sana🤔🤓.
Sija wahi kukuita nusu manara 🤔
Jmn dada😅😅😅 you better be there.
,Nimedhalilika mimi hata nguvu za kutamba sina🤨Usilie sana shemeji, ukilia utawaliza wengi 😂
Duu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazo zuri sana tupate kuona uhalisia wa wale tunaowadhania ndio kumbe sio.
Ikatokea kukawa na haja kila mtu aje na ID yake, kuna viumbe humu itabidi vijigawe. Maana humu kuna njemba zinachat kama mademu, kuna walimwengu wanamiliki ID mpaka 5 na zote zipo active. Kuna mpaka couples humu ambazo ni mtu mmoja. Jamaa anamiliki account ya demu na mwanaume halafu hizo account zina date.
Unge jua ukweli, au basi.,Nimedhalilika mimi hata nguvu za kutamba sina🤨
Nyuzi zote za ukuda ziko Selo 😁😁😁Ule umevaaje turingishie nao umepigwa moto?
GuudNyuzi zote za ukuda ziko Selo 😁😁😁
Hili korofi sanaKama ni kuhusu Half american sisi ni familia
Au una semea kipi??
Ume pendezaje, iko wazi bhanaNyuzi zote za ukuda ziko Selo 😁😁😁
Nusu albinoo for life 🤒,Hili korofi sana