Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani Taurati na Injili).
"Wale wanaosoma Kitabu" ni Wayahudi na Wakristo waliokuwa wa kweli, waliobaki na elimu halisi ya maandiko yao.
Kwa hiyo, inaeleza kuwa ukweli wa ujumbe wa Qur'an unaweza kuthibitishwa hata kwa wale waliokuwa na elimu ya maandiko ya awali.