Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Watu wa kitabu,Ahlul kitabu.Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani Taurati na Injili).
"Wale wanaosoma Kitabu" ni Wayahudi na Wakristo waliokuwa wa kweli, waliobaki na elimu halisi ya maandiko yao.
View attachment 3371299
Kwa hiyo, inaeleza kuwa ukweli wa ujumbe wa Qur'an unaweza kuthibitishwa hata kwa wale waliokuwa na elimu ya maandiko ya awali.
HIVI KUNA KITU WAKRISTO WANAJUASurat Yunus (10:94)

MBUX3Surat Yunus (10:94)

Watu wa kitabu,Ahlul kitabu.
HIVI KUNA KITU WAKRISTO WANAJUA
Kama unaiamini Quran na hiyo Aya basi kuwa muislamuSurat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani Taurati na Injili).
"Wale wanaosoma Kitabu" ni Wayahudi na Wakristo waliokuwa wa kweli, waliobaki na elimu halisi ya maandiko yao.
View attachment 3371299
Kwa hiyo, inaeleza kuwa ukweli wa ujumbe wa Qur'an unaweza kuthibitishwa hata kwa wale waliokuwa na elimu ya maandiko ya awali.
Ndio maana mkawa makafiri, waliopewa kitabu ni kitabu gani?Yes ni hao Makafir Allah anasema ndo wanakielewa kitabu na mambo ya kiroho. Nimeshangaa sana
Ndio maana mkawa makafiri, waliopewa kitabu ni kitabu gani?
Wasoma Biblia mpo? Kitabu hicho mmepewa na nani?
Hapo inazungumziwa Taurati, Zaburi na injili ndio vimetajwa kwenye Quran
Hata hiyo mfundishwe?