Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
24,977
Reaction score
23,799
Syrian rebel advance brings exiled Aleppo residents back to city

Syrian opposition fighters have pushed Assad’s forces out of Aleppo, allowing exiled residents to return for the first time in eight years. A coalition of armed rebel groups has advanced rapidly, marking a dramatic new phase in the 13-year Syria war.

for control on the ground in Syria. They are:

Syrian government forces: The army, the government’s main military force, fights alongside the National Defence Forces, a pro-government paramilitary group.

Syrian Democratic Forces: This Kurdish-dominated, United States-backed group controls parts of eastern Syria.

HTS and other allied rebel groups: The HTS is the latest iteration of the al-Nusra Front, which had pledged allegiance to al-Qaeda until it severed those ties in 2016.

Turkish and Turkish-aligned Syrian rebel forces: The Syrian National Army is a Turkish-backed rebel force in northern Syria.

Al Jazeera
 
safi sana apooo...suni vs shia wazipigee tuone nani kidumee wa team kobazz....yaani palee ni waongezwee silahaa tu walinogeshe disco
Ndo maana middle east rahisi sana kurule...
 
Mtanange n mkali pamoja na mrusi kutupa airstrike ngoma bado mbichi hii
Aah wapi! Wanakufa kama kuku!

Kuna clip nimeona Mrusi kashusha mvua ya makombora wamekatika vipande vipande kama machinjoni!

Ila tatizo wameingia wengi!

Na wanaachwa waingie wengi wenzao wanajifanya kama wameukimbia mji ili wamalizwe kwa pamoja.
 
Teyari Vikundi kutoka Iraq vimeshaanza kuwasili na Houthi nao wanasubiriwa.
Bwana Mkubwa!

Iraq wametapakaa kwenye mipaka yao ili kuwazuia hao magaidi wasije wakaingia kwenye nchi yao! Hawajaingia Syria!

Waliingia Syria ni Iran wametuma special force ambayo ipo sambamba na wanajeshi wa Urusi.

Hao siyo rebels, hao ni magaidi! Wakifika eneo hawaangalii wewe ni sunni au shia, nyote mtachinjwa!

Isis wamechinja masheikh wengi sana wa kisunni Iraq na Syria wameua masheikh wa kisunni mpaka ndani ya msikiti.

Hao ni project maalumu ya wakubwa! Ukumbuke pia sababu maalumu ya vita ni Bashar Al Assad kukataa kupitishwa kwa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda nchi za Ulaya ili kumdhoofisha Russia kiuchumi.
 
Nilikuwa naongelea Wanamgambo wa Kishia kutokea 🇮🇶 Iraq.
 
Kwahiyo Iran tiari kashatuma wanajeshi kwenda msaidia Assad?
 
Hao magaid ni raia wa wapi wa uturuki au Syria?
 
Back
Top Bottom