Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Aleppo ni Mji wa Kale na umetajwa kwenye Bibilia lakini kwenye Quruani haupo sijui ni kwanini?!
Povu rukhsa! Adiosamigo au ni njama za "Makafiri"?!😝
 
Ngoja tuone mwisho nani ataibuka kidedea. Ila wote wanawania mabikra 72 na mito ya pombe licha ya kwamba Ahadi hiyo ilitolewa kwa wale watakaowaua makafiri. Mwee, Ligambusi inogile swela beee.
Kwahyo hadi miongoni mwao kuna makafiri 😳
 
Hapo ni USA na Rasia pekee ndo hawana ujinga wa kidini Lkn Serikali ya Siria,Iran na Uturuki ni pamoja na wanamgambo wote ni udini mtupu,Iakini sikulazimishi endelea kujifunika usione udini huenda itakusaidia kutetea dini ya mnayazi mungu
Shida yako mkuu unapenda kuona upande wako ndio uko sahihi.
Uturuki ana maslahi yake ikiwemo kuondoa threat ya Kurdish PKK.
Wala Uturuki haipo kidini hapo.
Kuhusu serikali ya Syria sunni wanataka kumtoa madarakani Assad ambaye sio sunni.
Sasa hiyo ni vita ya dini au ya madaraka kwa mgongo wa dini!??
Anyway end of discussion.
 
Turk Hana shida na PKK tu anashida na Asad pia ndo maana unaona waturuki wanawatwanga Jeshi la serikali ya Syria na kutwaa maeneo Yao,Turk ni mdini sana hiyo vita ni ya madhehebu ya shia na Suni wakigombea dola
 
Uturuki masuala ya dini ilishaachana nayo muda aisee.
Na Uturuki sio sunni umepotea,Uturuki Kuna madhehebu mengine ambayo ndio yametawala zaidi ila sio sunni.

Ndio maana nikakwambia ni vita ya madaraka kwa mgongo wa dini.
Embu soma kwa uelewa zaidi.
 
Mkuu ebu achana na huyo mpumbavu ,acha kupoteza muda hicho unacho jaribu kumuelewesha sio kwamba hakijui bali anajizima data ili kujipa furaha.
 
Huyu mrusi si nilisikia ameshandwa vita na m ukraine mpaka akaomba wakae mezani vita iishe..sasa inakuwaje anatembeza kipondo sehemu nyingine?
 
Kwahyo hadi miongoni mwao kuna makafiri 😳
Ndio. Si unajua tena mambo ya siasa? Eti nisijeonekana siwaungi mkono. Kazi ikiisha "Watanilambisha" walau asali kidogo.... Humo kwa wenye kuunga mkono ndiko wapo makafir wengi pande zote. Halafu huo mtifuano ni mpana - unavihusisha vikundi vingi vinavyojiita wanaharakati nchi za nje e.g. Houthis kutoka Yemen na ndani e.g. Hayat Tahrir al-Sham.
 
Iran hawajawahi kushindwa ground operation hapo Syria.
Hao waasi wanajua balaa la wanajeshi wa Iran.
Labda wamejizatiti vilivyo; na wamezisoma alama za nyakati kwamba Iran kwa hali aliyo nayo baada ya lile shambulio la tar. 26/10/2024 wataweza kufanikisha lengo lao.
 
Labda wamejizatiti vilivyo; na wamezisoma alama za nyakati kwamba Iran kwa hali aliyo nayo baada ya lile shambulio la tar. 26/10/2024 wataweza kufanikisha lengo lao.
Sidhani mkuu.
Maana waliotumwa ni special force,pia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Russia yameshawadhoofisha waasi.
 
Sidhani mkuu.
Maana waliotumwa ni special force,pia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Russia yameshawadhoofisha waasi.
Hapo ndo jamaa walisema "Mwana kulitaka mwana kulipata". Ole wao.
 
Aleppo ni Mji wa Kale na umetajwa kwenye Bibilia lakini kwenye Quruani haupo sijui ni kwanini?!
Povu rukhsa! Adiosamigo au ni njama za "Makafiri"?!😝
We jamaa itakuwa waislam walikula kiboga sio bure mana unavyowachukia,,, hivi kule Ukraine nako si kuna vita vp mbona watu uongeleagi udini
 
Back
Top Bottom