Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

sema waarab usitumie bara asia kuficha neno waarab
Screenshot_20241201_222519_X.jpg
 
Tunawakumbusha hiii vita Uturuki ndio imechangia pakubwa lkn uyouyo Uturuki ndio atalalamika sio muda mlefu kuusu wakimbizi, niwakumbushe kuwa apo SYria kuna miji miwili iyo Uturuki ailiomba kupitia Mkataba ule ASTANA iyo miji miwili ibaki free isiwe chini ya serikali ya ASSAD kwahoja kuwa kuna raia wengi iyo miji ambao waliama miji mingine na kukimbilia apo sasa mkiwatimua apo lazima waje kwangu yani Uturuki sababu nyengine ao raia awakutaka wawe chini ya Assad , iyo miji ipo mpakani karibu n Uturuki so hofu ya Uturuki ilikuwa wakimbizi wangekuwa wengi sana Uturuki wkt tayali inawakimbizi milion3 kutoka SYria. Kinachonishangaza mm kujua kuwa UTURUKI inausika pakubwa ktk kuchochea mzozo wasasa JE nini kitakuwa ikiwa Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki watashindwa ktk hii vita RUSSIA kashaonya kuwa Uturuki umekiuka Mkataba w Astana vita imerupuka na imetokea ktk iyo miji mm Nasubilia tu UTURUKI atoe mlio wakulalamika kuusu wakimbizi mana kayataka mwenyewe mwana kulitafuta mwana kulipata ngoja mvua ije tujue matundu yangalipo lkn Shazadi Osman Bay anaenda kuchapika na wazushi!!!!!!
 
Syrian rebel advance brings exiled Aleppo residents back to city

Syrian opposition fighters have pushed Assad’s forces out of Aleppo, allowing exiled residents to return for the first time in eight years. A coalition of armed rebel groups has advanced rapidly, marking a dramatic new phase in the 13-year Syria war.

for control on the ground in Syria. They are:

Syrian government forces: The army, the government’s main military force, fights alongside the National Defence Forces, a pro-government paramilitary group.

Syrian Democratic Forces: This Kurdish-dominated, United States-backed group controls parts of eastern Syria.

HTS and other allied rebel groups: The HTS is the latest iteration of the al-Nusra Front, which had pledged allegiance to al-Qaeda until it severed those ties in 2016.

Turkish and Turkish-aligned Syrian rebel forces: The Syrian National Army is a Turkish-backed rebel force in northern Syria.

Al Jazeera
1733116852033.jpeg

Hawa jamaaa
 
Watasema njama za Yahudi😆😆😆
 
Kumbe safari hii ni waisalmu vs waislamu??
Sasa hapa sijui watamshabikia nani
Ngoja tuone mwisho nani ataibuka kidedea. Ila wote wanawania mabikra 72 na mito ya pombe licha ya kwamba Ahadi hiyo ilitolewa kwa wale watakaowaua makafiri. Mwee, Ligambusi inogile swela beee.
 
Watasema njama za Yahudi😆😆😆
Jamani, Hv huyo Myahudi ni kila kitu?. "Akipenda chongo huita kengeza" Mrusi ameingia hapo kwa woga na anapita kwa Angani lakini hiyo ni nguvu ya soda.
Ngoja mchujo aliopo ardhini kwa ardhini ukolee.
 
Jamani, Hv huyo Myahudi ni kila kitu?. "Akipenda chongo huita kengeza" Mrusi ameingia hapo kwa woga na anapita kwa Angani lakini hiyo ni nguvu ya soda.
Ngoja mchujo aliopo ardhini kwa ardhini ukolee.
Ardhini wanaingia IRGC.
Na Iran hainaga utani kwenye ground battle.
Hao waasi wanamtambua Iran maana walikumbana naye mapigano ya nyuma.
 
Bwana Mkubwa!

Iraq wametapakaa kwenye mipaka yao ili kuwazuia hao magaidi wasije wakaingia kwenye nchi yao! Hawajaingia Syria!

Waliingia Syria ni Iran wametuma special force ambayo ipo sambamba na wanajeshi wa Urusi.

Hao siyo rebels, hao ni magaidi! Wakifika eneo hawaangalii wewe ni sunni au shia, nyote mtachinjwa!

Isis wamechinja masheikh wengi sana wa kisunni Iraq na Syria wameua masheikh wa kisunni mpaka ndani ya msikiti.

Hao ni project maalumu ya wakubwa! Ukumbuke pia sababu maalumu ya vita ni Bashar Al Assad kukataa kupitishwa kwa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda nchi za Ulaya ili kumdhoofisha Russia kiuchumi.
Happy ndo mnappfeli hamtaki kuona vita kwa rangi zake kila kitu mnatupa lawa Kwa USA

Ukweli ni kuwa watu wanapigania dini ya mnyazi mungu ili awatunuku mito ya pombe chini vivuli vya komamanga na warembo 72 wenye macho mazuri kama vikombe vya udongo Kila mwanaume aliye fia dini yake,Ila wanawake wanawake 72 wanamuenjoy al shabab mmoja mwenye ndevu safi za kutosha
 
Mkuu nenda kafuatilie chanzo cha mgogoro wa Syria kuanzia 2013 utoe tongo tongo machoni.
Hapo hakuna vita ya kidini bali vita ya madaraka inayofadhiliwa na wakubwa,hapo halaumiwi US peke yake.
Kuna Iran,Uturuki,Russia Kila mmoja hapo ana upande anausapoti na kuufadhili.
Nakushauri nenda kasome huu mzozo vizuri.
 
Hapo ni USA na Rasia pekee ndo hawana ujinga wa kidini Lkn Serikali ya Siria,Iran na Uturuki ni pamoja na wanamgambo wote ni udini mtupu,Iakini sikulazimishi endelea kujifunika usione udini huenda itakusaidia kutetea dini ya mnayazi mungu
 
Back
Top Bottom