Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Duh kwahiyo watapigwa juu na chini? Urusi anapiga juu Iran anapiga chini
Wapo wengi, hivyo ni lazima kwanza wapunguzwe nguvu na wazuiliwe wasiendee mbele zaidi na ndiyo maana Russia anatumia ndege zake.

Baada ya hapo ndipo askari wa miguu kwa zoezi la kurudisha maeneo yaliyotekwa.
 
Ni mvua ya Makombora mazito mazito.....media zinaficha mengi anga limechafuka....hii ni vita moto chini mpaka juu
Fukuweni habari huko kwenye Mashirika yanayo hudumia Wakimbizi

Kunawanao songa mbele na wanao kimbia uwanja wa Mapambano kurudi nyuma kukusanya NGUVU
 
safi sana apooo...suni vs shia wazipigee tuone nani kidumee wa team kobazz....yaani palee ni waongezwee silahaa tu walinogeshe disco
Kwa hiyo wote wakivuta trigger( kuruhusu risasi kutoka kwenye mtutu wa bunduki) wanaimba Allahu akbar? kama wahuni wa hamas walipovamia Israel wakati wanabaka walikuwa wakifikia kishindo kukojoa wanaimba Allahu akbar
 
Bwana Mkubwa!

Iraq wametapakaa kwenye mipaka yao ili kuwazuia hao magaidi wasije wakaingia kwenye nchi yao! Hawajaingia Syria!

Waliingia Syria ni Iran wametuma special force ambayo ipo sambamba na wanajeshi wa Urusi.

Hao siyo rebels, hao ni magaidi! Wakifika eneo hawaangalii wewe ni sunni au shia, nyote mtachinjwa!

Isis wamechinja masheikh wengi sana wa kisunni Iraq na Syria wameua masheikh wa kisunni mpaka ndani ya msikiti.

Hao ni project maalumu ya wakubwa! Ukumbuke pia sababu maalumu ya vita ni Bashar Al Assad kukataa kupitishwa kwa bomba la gesi kutokea Qatar kwenda nchi za Ulaya ili kumdhoofisha Russia kiuchumi.
Mkuu umechimba KIMATAIFA
 
Dunia hii ukanda wowote utakaokuwa potential huwa hautulii ukijifanya kututumua misuli! Na Syria ni mojawapo, ni eneo muhimu kwa ME na Ulaya.

Ndiyo maana US, Russia, Turkey na Iran wote wapo na kila mmoja ana maslahi yake.
Duh Asante sana
 
Istanbul mji wa kihistoria wenye HARAKATI nyingi hapa ndo kuna mkusanyiko wa dini zote na kuna mambo ya KUSHANGAZA SANA.....ukipata nafasi ya kwenda ulaya pitia connection ya Istanbul ndo utawaerewa batu ba MIDOISTI na kacha yao ....huku habari SMG ni jadi kama sime lna Masai
 
Syrian rebel advance brings exiled Aleppo residents back to city

Syrian opposition fighters have pushed Assad’s forces out of Aleppo, allowing exiled residents to return for the first time in eight years. A coalition of armed rebel groups has advanced rapidly, marking a dramatic new phase in the 13-year Syria war.

Al Jazeera
Meza inapinduliwa mda si mrefu, Urusi hana masihala na acheki na kima.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lmOIHdNUhTQ
Mpaka sasa mashambulizi yake yameangamiza ya waasi elfu moja.
 
Back
Top Bottom