Allepo mikononi mwa wapiganaji Rebel

Duh kwahiyo watapigwa juu na chini? Urusi anapiga juu Iran anapiga chini
Wapo wengi, hivyo ni lazima kwanza wapunguzwe nguvu na wazuiliwe wasiendee mbele zaidi na ndiyo maana Russia anatumia ndege zake.

Baada ya hapo ndipo askari wa miguu kwa zoezi la kurudisha maeneo yaliyotekwa.
 
Ni mvua ya Makombora mazito mazito.....media zinaficha mengi anga limechafuka....hii ni vita moto chini mpaka juu
Fukuweni habari huko kwenye Mashirika yanayo hudumia Wakimbizi

Kunawanao songa mbele na wanao kimbia uwanja wa Mapambano kurudi nyuma kukusanya NGUVU
 
safi sana apooo...suni vs shia wazipigee tuone nani kidumee wa team kobazz....yaani palee ni waongezwee silahaa tu walinogeshe disco
Kwa hiyo wote wakivuta trigger( kuruhusu risasi kutoka kwenye mtutu wa bunduki) wanaimba Allahu akbar? kama wahuni wa hamas walipovamia Israel wakati wanabaka walikuwa wakifikia kishindo kukojoa wanaimba Allahu akbar
 
Mkuu umechimba KIMATAIFA
 
Dunia hii ukanda wowote utakaokuwa potential huwa hautulii ukijifanya kututumua misuli! Na Syria ni mojawapo, ni eneo muhimu kwa ME na Ulaya.

Ndiyo maana US, Russia, Turkey na Iran wote wapo na kila mmoja ana maslahi yake.
Duh Asante sana
 
Istanbul mji wa kihistoria wenye HARAKATI nyingi hapa ndo kuna mkusanyiko wa dini zote na kuna mambo ya KUSHANGAZA SANA.....ukipata nafasi ya kwenda ulaya pitia connection ya Istanbul ndo utawaerewa batu ba MIDOISTI na kacha yao ....huku habari SMG ni jadi kama sime lna Masai
 
Meza inapinduliwa mda si mrefu, Urusi hana masihala na acheki na kima.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lmOIHdNUhTQMpaka sasa mashambulizi yake yameangamiza ya waasi elfu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…