ALLIANCE GLOBAL: Kampuni ya kitapeli inayoendelea kuliza wasomi wengi nchini

Safi boss,tutoe tongotongo
 
Wakuu,kuna hii inaitwa NEO LIFE,naomba mnaoifahamu mtupe ABC zake.
Kuna mwana ananishawishi kujiunga ili niuze dawa zao
 
Ukilizwa basi wewe jione bado ni mjinga na sio msomi kama heading ya maada isemavyo
 
Saiz imepanda mana ilikuaga500000
Ndiyo, imepanda hadi 600k na unahimizwa pia kwenye fomu yao ya kujiunga ni vyema zaidi ukiwekeza zaidi ya hiyo hili upate zaidi.

NB: Wanajibatiza majina mengi hili wasifahamike kiurahisi na hutumia technique hiyo kupoteza wafuasi wao, hivi sasa wanajiita EMPOWERED ENSURING lakini deep down ni ALLIANCE GLOBAL iliyochangamka ukiwa makini utabaini hilo kupitia fomu zao za makubaliano batili.
 
Ukilizwa basi wewe jione bado ni mjinga na sio msomi kama heading ya maada isemavyo
Ni kweli kuendelea kuibiwa licha ya elimu yote hii inayotolewa hapa ni suala la kujitakia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…