lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,038
Masuala ya kuspend hata ukiwauliza wachumi mara nyingi yanaambatana na saikolojia ya mtumiaji. Ndio maana hata kwenye vikao vya uchangiaji wa hiari wengine wanatoa milioni na wengine hata laki lakini kwa lengo moja la kufanikisha. Na sehemu nyingine unaikuta soda imeandikwa kabisa bei yake kuwa 500/- lakini mtu anauziwa 2,000/- bila ya malalamiko kuwa wamemuibia.mrejesho tu ni kuwa serikali ilitia timu siku hiyo kuona hayo malipo ya 10,000 kwa kila kichwa kuanzia mtu wa 3 kuendelea maana baba na mama (watu 2)tu ndio waliruhusiwa kwa ile laki. Waliufyata in summary na watu kuserebuka; hela ipo ila kuibiwa hatupendagi ujinga aiseee
Tunaandika hapa sio kwa ajili ya vidampa kuongea upuuzi wao, tunakua serikali ipo hadi hapa. HONGERA SERIKALI
Na ni ujinga kudhani mtu akilalamika eti hana hela ya kutosha, mistaken view of poor Tanzanians;
Asanteni
Sasa Alliance wana mambo yao, hata kama kwenye hiyo laki walikuwa wanatumia 30,000/- labda 70,000/- ilikuwa ni mchango kwa timu yao ya mpira au majengo nk (indrectly).
Tanzania inahitaji miaka walau 600 (mia sita) kufika ilipo Amerika au China na huenda hizo ndio mbinu zenyewe za kutufikisha huko