Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
ExactlyKama unajua mpira leo hakuna goli la kumlaumu golikipa wa Azam wala Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlyKama unajua mpira leo hakuna goli la kumlaumu golikipa wa Azam wala Yanga
Kisa kufungwa na yanga? Tena aziz kiHuyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Aliyekuwa anachelewesha kumaliza mchezo ni dubeHuyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Kuna faulo alichezewe Dube mwanzo kabisa wa mechi. .mcheza faulo alikua wa mwisho lkn refa hakutoa hata kadi. ..hizo ndio bahasha sasa.Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Heri ya sikukuu brother.Kama unajua mpira leo hakuna goli la kumlaumu golikipa wa Azam wala Yanga
Hilo tukio hata refa hajui Kwa nini kaweka faulo.Kuna faulo alichezewe Dube mwanzo kabisa wa mechi. .mcheza faulo alikua wa mwisho lkn refa hakutoa hata kadi. ..hizo ndio bahasha sasa.
Ni mcheaji wao ghali in terms ya malipo wanayompa, ongala hana ubavu wa kumuweka benchiHuyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.
Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Alikula bahasha ya aftatu au afnne kipa mzigo kabisaGolikipa mzigo, sijui walitumia vigezo gani kumsajili.
Lile tukio, sidhan hata wewe kama umeelewa why refa akiweka faulo. Ndio maana hata kadi alishindwa kutoa. Ile ilikuwa cleanKuna faulo alichezewe Dube mwanzo kabisa wa mechi. .mcheza faulo alikua wa mwisho lkn refa hakutoa hata kadi. ..hizo ndio bahasha sasa.
UloziVipi Azam wamepewa bahasha?
Ahmada!!!.... Kivp?Kama unajua mpira leo hakuna goli la kumlaumu golikipa wa Azam wala Yanga
Uko sahihi Mkuu, hata picha za marejeo hazionyeshi faulo yoyote zaidi ya clearance ilisababisha mgusano.Lile tukio, sidhan hata wewe kama umeelewa why refa akiweka faulo. Ndio maana hata kadi alishindwa kutoa. Ile ilikuwa clean
Basi watateseka sn na ubingwa ndo basiNi mcheaji wao ghali in terms ya malipo wanayompa, ongala hana ubavu wa kumuweka benchi
Feitoto angejiona yeye ndio kila kitu Yanga!Mchawi kishapatikana wa kutupiwa lawama. Angeshinda Azam leo Yanga tungekoma. Maana mikia, Azam plus deal la Feisal.