Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Kisa kufungwa na yanga? Tena aziz ki
Manula je? Au yeye anamgalimu mo
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Kuna faulo alichezewe Dube mwanzo kabisa wa mechi. .mcheza faulo alikua wa mwisho lkn refa hakutoa hata kadi. ..hizo ndio bahasha sasa.
 
Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo.

Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
Ni mcheaji wao ghali in terms ya malipo wanayompa, ongala hana ubavu wa kumuweka benchi
 
Azam anatakiwa kutafuta Golkipa,beki wa Kati pamoja na straika hatari bila kusahau hamasa ya ushindi kwa wachezaji.....azama wanahisi pass nyingi ndio magoli,Dube alikuwa anaboa alipiga pasi za nyuma nyingi sana kipindi cha pili na yupo nje kidogo ya 18...sijui nini hawa Azam.
 
Lile tukio, sidhan hata wewe kama umeelewa why refa akiweka faulo. Ndio maana hata kadi alishindwa kutoa. Ile ilikuwa clean
Uko sahihi Mkuu, hata picha za marejeo hazionyeshi faulo yoyote zaidi ya clearance ilisababisha mgusano.
 
Back
Top Bottom