Ally Ally Mchezaji wa YANGA anayechezea Team Pinzani jinsi Anavyoisaidia Yanga kupata ushindi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Tukumbushane assists
za ALLY ALLY VS YANGA

1. Yanga vs Stand United ,2018
Shuti toka kwa Yusuf Muhilu ally ally akajifunga ktk harakat za kuokoa mpira

2. KMC VS YANGA ,2019
*ALLY ALLY alisababisha faulo katika nje ya penat area na hatimaye FEISAL SALUMU Kufunga bao la ushindi

3. YANGA VS KMC 2019
Kroc iliyopigwa na IBRAHIM AJIB ikamkuta ALLY ALLY aliyejifunga KWA KICHWA SAAFI KABISA na kupelekea ushindi kwa Yanga katika harakat za kuokoa mpira huo.


Na huo ndo UMUHIMU WA ALLY ALLY kwa YANGA na ndio mchango wake wa kuisaidia Yanga.

Ni mchezaji wa kutegemewa wa Yanga anayechezea team pinzani zinazokutana na Yanga ila mchango wake ni Mkubwa sana
 
Aisee ! Nakumbuka niilingalia Mechi round ' ya Kwanza ! Ilikuwa ni Faulo ya Kipumbavu Sana! Naiona hoja yako Mkuu!
Aidha ni ukweli usiopingika kwa Yanga mwaka huu inaongozwa na nyota ya Bahati Kweli! Ukiangalia ni mechi kadhaa Yanga imepata pointi 3 katika mazingira ya Bahati kwelikweli!
 
Mtaongea yote mpaka mmalize Wakuu ila kumbukeni AS Vita kesho kutwa wapo Dar.
 
Kwan ndo wanaanza kuja leo wapinzani... Umesahau walikuja Nkana Hapa? Hukumbuki? Walikuja Al ahaly, yanga nao tumekutana nao hapo Taifa Kagere akaingiza kichwa tu wakapatikana watoto mapacha watatu....😁😁😁 Unasahau sana... Kagere akasema baby niiingize kichwa tu hata simalizi...akaingiza akasugua akamwaga bao Watoto mapacha watatu.

Waje Vita na nyie mje nao msiwaache peke yao....

Mtaongea yote mpaka mmalize Wakuu ila kumbukeni AS Vita kesho kutwa wapo Dar.
 
Lugha ya chooni hii.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Huko ndo kuichangia yanga sio lazma utoe hela kuichangia, afu mjue huyo Ally ally ni Mdogo ake canavaro wanatoka sehemu moja na akiwa hapa dar anaishi kwa kanavaro yeye na feitoto na Ninja, kama uliangalia mpira ulivoisha ally ally na ninja walipiga stori kwa mda kidogo
 
Mimi nakataa tafuteni clip za wachezaji hawa wa Manchester united,Roy Keane na Wesbrown ni kawaida sana kwa mchezaji lakini kama hujawahi hata kucheza chandimu utakuwa huelewi mpira ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…