Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tukumbushane assists
za ALLY ALLY VS YANGA
1. Yanga vs Stand United ,2018
Shuti toka kwa Yusuf Muhilu ally ally akajifunga ktk harakat za kuokoa mpira
2. KMC VS YANGA ,2019
*ALLY ALLY alisababisha faulo katika nje ya penat area na hatimaye FEISAL SALUMU Kufunga bao la ushindi
3. YANGA VS KMC 2019
Kroc iliyopigwa na IBRAHIM AJIB ikamkuta ALLY ALLY aliyejifunga KWA KICHWA SAAFI KABISA na kupelekea ushindi kwa Yanga katika harakat za kuokoa mpira huo.
Na huo ndo UMUHIMU WA ALLY ALLY kwa YANGA na ndio mchango wake wa kuisaidia Yanga.
Ni mchezaji wa kutegemewa wa Yanga anayechezea team pinzani zinazokutana na Yanga ila mchango wake ni Mkubwa sana