Ally Ally Mchezaji wa YANGA anayechezea Team Pinzani jinsi Anavyoisaidia Yanga kupata ushindi

DONGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijaona tatizo sababu mistakes katika Mpira huwa zipo Mkuu.

Haya hebu tufanye Mkuu we ndio Ally Ally kwa ile krosi ya Ajibu ungefanya kitu gani pale? Kuwa mkweli tu kwa ile speed ya ule mpira ungefanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ile krosi tu, mechi za Yanga Ally Ally lazima afanye tukio litakalowapa Yanga matokeo. Wazungu wanaita suspicious events hasa zinapotokea mara kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sijaona tatizo sababu mistakes katika Mpira huwa zipo Mkuu.

Haya hebu tufanye Mkuu we ndio Ally Ally kwa ile krosi ya Ajibu ungefanya kitu gani pale? Kuwa mkweli tu kwa ile speed ya ule mpira ungefanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angesimama tu pasipo kuucheza kama alivyofanya Gea Habib wa mwanitesa utd alivyosimama pasipo kujisumbua alivyopigiwa shut kali na XHaka boom #Coyg.
 
Kuna nyuzi zikiisakama kuwa simba inanunua mechi, najaribu kutafakari vipi simba ndo ingekuwa inacheza na hiyo timu halafu likatokea tukio hilo
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakataa tafuteni clip za wachezaji hawa wa Manchester united,Roy Keane na Wesbrown ni kawaida sana kwa mchezaji lakini kama hujawahi hata kucheza chandimu utakuwa huelewi mpira ulivyo
Mmmmmmmm! Nao hao uliowatolea mfano, nao walikuwa wanajifunga walipokuwa wanakutana na timu moja, kama huyu, anayewapa Yanga pointi tatu tatu?
Hebu tufikirie upande wa pili, hiyo mechi ya juzi wangekuwa wanacheza na Simba, halafu wajifunge goli la aina hiyo, huyo Kocha wa Yanga Zahera, angelalamikaje mbeleya vyombo vya habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…