Anaichangia timu ya wananchi[emoji28][emoji28][emoji28] ALLY ALLY KAJUA KUWATESA SANA MIKIA SHEMELA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaichangia timu ya wananchi[emoji28][emoji28][emoji28] ALLY ALLY KAJUA KUWATESA SANA MIKIA SHEMELA.
Sijui tukiwafunga na wakongo wenzake atasema tumewapa 10% pia
DONGEHuko ndo kuichangia yanga sio lazma utoe hela kuichangia, afu mjue huyo Ally ally ni Mdogo ake canavaro wanatoka sehemu moja na akiwa hapa dar anaishi kwa kanavaro yeye na feitoto na Ninja, kama uliangalia mpira ulivoisha ally ally na ninja walipiga stori kwa mda kidogo
Mi sijaona tatizo sababu mistakes katika Mpira huwa zipo Mkuu.
ni kama lugha za manara ,za mitaani tena choo kinachofurika,
Sio ile krosi tu, mechi za Yanga Ally Ally lazima afanye tukio litakalowapa Yanga matokeo. Wazungu wanaita suspicious events hasa zinapotokea mara kadhaaMi sijaona tatizo sababu mistakes katika Mpira huwa zipo Mkuu.
Haya hebu tufanye Mkuu we ndio Ally Ally kwa ile krosi ya Ajibu ungefanya kitu gani pale? Kuwa mkweli tu kwa ile speed ya ule mpira ungefanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ile krosi tu, mechi za Yanga Ally Ally lazima afanye tukio litakalowapa Yanga matokeo. Wazungu wanaita suspicious events hasa zinapotokea mara kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesimama tu pasipo kuucheza kama alivyofanya Gea Habib wa mwanitesa utd alivyosimama pasipo kujisumbua alivyopigiwa shut kali na XHaka boom #Coyg.Mi sijaona tatizo sababu mistakes katika Mpira huwa zipo Mkuu.
Haya hebu tufanye Mkuu we ndio Ally Ally kwa ile krosi ya Ajibu ungefanya kitu gani pale? Kuwa mkweli tu kwa ile speed ya ule mpira ungefanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo soka letu la afrika mtani, kamati za ufundi za nje ni lazima.Tusubiri tuone Mtani. Japo nasikia hamtegemei kuwafunga kwa soka la Uwanjani pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh. Unasema tu Mtani ila haikuwa rahisi kusimama pale.Angesimama tu pasipo kuucheza kama alivyofanya Gea Habib wa mwanitesa utd alivyosimama pasipo kujisumbua alivyopigiwa shut kali na XHaka boom #Coyg.
Ndo soka letu la afrika mtani, kamati za ufundi za nje ni lazima.
Lakini hatuwashindi nyinyi mtaniNa hii ndio mnaitegemea sana kwa kutoa makafara mtani ili mpate matokeo.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kwan ndo wanaanza kuja leo wapinzani... Umesahau walikuja Nkana Hapa? Hukumbuki? Walikuja Al ahaly, yanga nao tumekutana nao hapo Taifa Kagere akaingiza kichwa tu wakapatikana watoto mapacha watatu....[emoji16][emoji16][emoji16] Unasahau sana... Kagere akasema baby niiingize kichwa tu hata simalizi...akaingiza akasugua akamwaga bao Watoto mapacha watatu.
Waje Vita na nyie mje nao msiwaache peke yao....
msimu ujao najua dogo lazima mumchukueAahh. Unasema tu Mtani ila haikuwa rahisi kusimama pale.
Njano na kijani tu ndio imekuchanganya hapo wala sio Mtu wa Timu ya wananchi huyo.Lakini hatuwashindi nyinyi mtaniView attachment 1043624
Njano na kijani tu ndio imekuchanganya hapo wala sio Mtu wa Timu wananchi huyo.
Mmmmmmmm! Nao hao uliowatolea mfano, nao walikuwa wanajifunga walipokuwa wanakutana na timu moja, kama huyu, anayewapa Yanga pointi tatu tatu?Mimi nakataa tafuteni clip za wachezaji hawa wa Manchester united,Roy Keane na Wesbrown ni kawaida sana kwa mchezaji lakini kama hujawahi hata kucheza chandimu utakuwa huelewi mpira ulivyo
SawaHaya bana Mkuu. Ila mwisho wa siku ukweli anao mwenyewe ndani ya nafsi yake kama ni NCHECHETO au ni kweli anafanya kama mnavyodhania nyie.
Na hawawezi kwa soka La uwanjani pekee cha kushukuru wakongo kwenye uchawi wapo vizuri .....Tusubiri tuone Mtani. Japo nasikia hamtegemei kuwafunga kwa soka la Uwanjani pekee
Sent using Jamii Forums mobile app