tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Hawakawii kuunga mkono juhudi hawa. Arusha mjini Lema anatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo inakatisha wengine tamaaa maana mtu anafanya jimbo kama mali yake';Lema akagombee jimbo lingine lenye ngome ya ccm hapo amwachie damu changa banangaHapo ndio shida mkuu, binadam haturidhiki ilitakiwa miaka 10 ikiisha hata Kama nimbunge katiba zisiwaruhusu kugombea vyeo vilevile.
Mwishoni huku wakati wa hama hama nahisi kama Ally nae alipotoka kdg hakua strong, bado Lema anahitajjika hapo Arusha. Uyu Bananga atamuuzia best wake Msando Jimbo mapema tu.Mbowe kazi anayo, atakuwa tayari kumpiga chini Lema? Lema aliyepokonya laptop ya kina MM, hadi nasi tukausoma waraka.
Hayo mambo ya upako apeleke Kanisani huko, asituletee kwenye siasa. Bananga ndio mtu sahihi kwa sasa.lema anatosha jamani kwanza anaupako wa Mungu
Unamkataaje mtumishi wa Mungu.Hayo mambo ya upako apeleke Kanisani huko, asituletee kwenye siasa. Bananga ndio mtu sahihi kwa sasa.
Kwa vile hatuko kwenye ibada.Unamkataaje mtumishi wa Mungu.
kwa nini ccm wasione Msando atamuuzia jamaa yake Banaga?. Acheni hizo mambo lema anamtaji wa fedha na mali na nimaarufu kuliko Banaga kwa nini asiende jimbo lingine amuachie hapo banaga, mbona Zitto kakubali kuwaachia vijana wake wagombee, CDM muwe na itikadi yakuamini nawatu wengine wanaweza na hili ndio limeonekana hakuna mrithi wa Mbowe kwenye uwenyekiti.Mwishoni huku wakati wa hama hama nahisi kama Ally nae alipotoka kdg hakua strong, bado Lema anahitajjika hapo Arusha. Uyu Bananga atamuuzia best wake Msando Jimbo mapema tu.
CDM Haina akili mbovu kama kwenu huko ambapo kwa uoga mmeprint fomu moja tu. Ndo maana watu wote wanaruusiwa kuchukua fomu tu. Pia kwa nyendo za Bananga mwishoni hapa intelijensia inasema baado hajakwiva mikiki mikikikwa nini ccm wasione Msando atamuuzia jamaa yake Banaga?. Acheni hizo mambo lema anamtaji wa fedha na mali na nimaarufu kuliko Banaga kwa nini asiende jimbo lingine amuachie hapo banaga, mbona Zitto kakubali kuwaachia vijana wake wagombee CDM muwe na itikadi yakuamini nawatu wengine wanawaza na hili ndio limeonekana hakuna mrithi wa Mbowe kwenye uwenyekiti.
Mbowe,Lissu wote wamechukua fomu kwa ugombeaji kwa nini happy hamsemi Mbowe asingechukua akamuachia Lissu, mwisho wasiku mruhusu demokrasia atakaeshinda Kura za maoni ndio apitishwe kugombea ubunge tofauti nahapo mtalipoteza jimbo.
Kwa jambo lipi mkuu? Taja walau moja tu [emoji41]CDM Haina akili mbovu kama kwenu huko ambapo kwa uoga mmeprint fomu moja tu. Ndo maana watu wote wanaruusiwa kuchukua fomu tu. Pia kwa nyendo za Bananga mwishoni hapa intelijensia inasema baado hajakwiva mikiki mikiki
Hakuna mtu aliemuunga mkono Magufuli kutoruhusu watu wengine kuchukua fomu huo ni uminywaji wa demokrasia nakila siku tunapigania mawazo mapya. Huo ujinga unaotendeka ccm msije mkauiga hata siku moja ,ccm sio chama Cha siasa nichama dola kukitoa hapo madarakani ni process ya muda mrefu nakitatoka tu.CDM Haina akili mbovu kama kwenu huko ambapo kwa uoga mmeprint fomu moja tu. Ndo maana watu wote wanaruusiwa kuchukua fomu tu. Pia kwa nyendo za Bananga mwishoni hapa intelijensia inasema baado hajakwiva mikiki mikiki
Imaposemwa intelijensia kausha tu yapaswa ufahamu kuwa hata nyendo za usiku ni mojawapo.ushkaj wake na Msando na Sabaya pia unaleta mashakaKwa jambo lipi mkuu? Taja walau moja tu [emoji41]
Mtu akiumwa na nyoka ni lazima kamba aitilie shaka. Anahitajika mtu ambae sio tu atashinda ubunge na kuwawakilisha vyema waliompigia kura bali pia atakae simama kidete kutetea chama chake. Wengi waliosema kuwa wao wameweka maslahi ya wapiga kura wao juu ya maslahi ya chama wamejiunga na chama tawala ili kuhakikisha jimbo lao halisahauliwi katika mgao. Huyu bwana ni lazima akihakikishie chama kuwa ingawa marafiki zake wamehamia CCM yeye binafsi yuko tayari kuwapigania wananchi na chama chake hata ikibidi kuwekwa ndani kama mwenzake alivyoonyesha kwa vitendo. Mbunge sio tu ni mwakilishi wa wananchi katika jimbo lake lakini vilevile ni sehemu muhimu ya chama chake katika kuhakikisha kuwa wanasimamia serikali kwa umakini na pasipo uoga.Hii kushukiana ndio inapasua chama. Ziko standards za kupimana badala ya hisia na woga tu.