Uchaguzi 2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

Mtu akiumwa na nyoka ni lazima kamba aitilie shaka. Anahitajika mtu ambae sio tu atashinda ubunge na kuwawakilisha vyema waliompigia kura bali pia atakae simama kidete kutetea chama chake. Wengi waliosema kuwa wao wameweka maslahi ya wapiga kura wao juu ya maslahi ya chama wamejiunga na chama tawala ili kuhakikisha jimbo lao halisahauliwi katika mgao. Huyu bwana ni lazima akihakikishie chama kuwa ingawa marafiki zake wamehamia CCM yeye binafsi yuko tayari kuwapigania wananchi na chama chake hata ikibidi kuwekwa ndani kama mwenzake alivyoonyesha kwa vitendo. Mbunge sio tu ni mwakilishi wa wananchi katika jimbo lake lakini vilevile ni sehemu muhimu ya chama chake katika kuhakikisha kuwa wasimamia serikali kwa umakini na pasipo uoga.

Amandla...
Kati ya marafiki zake na mke wake ambae alikuwa mbunge viti maalum CDM,na ambae ametia nia kugombea ubunge Tabora mjini nani yupo karibu nae?. Kwa nini awafate rafiki zake nasio aambatane na mkewe kukipigania chama?.
 
Wakuu,

Mwanasiasa maarufu nchini na aliyekuwa diwani wa Sombetini jijini Arusha kupitia CHADEMA Ally Bananga ametia nia ya kugombea ubunge Arusha mjini kupitia CHADEMA.

Kwa wanaofahamu siasa za Arusha wanajua hili ni jaribu kubwa sana kwa CHADEMA kuonesha ukomavu bila kuivunja rasmi ngome yao kuu ya upinzani jijini Arusha na kufanya CCM ishinde kirahisi kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika Arusha.

Inawezekana kuna kundi kubwa la madiwani/wanachama wanaotaka kufanya kazi na mtu mwingine na wamemtuma Bananga kutuma ujumbe wao. Sasa unahitajika ukomavu mkubwa kuvuka hili bila kupasua chama.

Binafsi naona Ally Bananga ni mwanasiasa mkomavu anayeweza kushirikiana na wananchi, wanachama, madiwani na serikali kuletea maendeleo wananchi tofauti na Lema ambaye harakati zake zinafaa kutafutiwa kazi zingine za chama na nafikiri kuwa kiongozi wa kanda inatosha.

Kila lakheri Ally Bananga, operations zako kama diwani na kiungo muhimu wa CHADEMA na wananchi hapo Arusha unastahili kumpokea kijiti Mh. Lema maana unajua shida za wana Arusha kiuhalisia zaidi.

Bila kupinga maelezo yako yote mazuri. Ila tujikite hapo kuwa anaweza kushirikina na wanachama, wananchi na serikali. Kwa Arusha ninayoijua mimi ni kuwa imeshavuka hatua ya maendeleo ya kuisujudia serikali, maana miundombinu mbinu yote ipo, kama shule gov+private, hospital gov+private, barabara, umeme, maji nk. Sioni chochote ambacho mbunge yoyote anapaswa kujinyenyekeza kwenye siasa za kusujudia serikali, bali kushirikiana na serikali kwa mujibu wa serikali kutekeleza wajibu kama mkusanya kodi. Labda kama maelezo yako mazuri, yamejikita kwenye tofauti zako binafsi na Lema.
 
Wakuu,

Mwanasiasa maarufu nchini na aliyekuwa diwani wa Sombetini jijini Arusha kupitia CHADEMA Ally Bananga ametia nia ya kugombea ubunge Arusha mjini kupitia CHADEMA.

Kwa wanaofahamu siasa za Arusha wanajua hili ni jaribu kubwa sana kwa CHADEMA kuonesha ukomavu bila kuivunja rasmi ngome yao kuu ya upinzani jijini Arusha na kufanya CCM ishinde kirahisi kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika Arusha.

Inawezekana kuna kundi kubwa la madiwani/wanachama wanaotaka kufanya kazi na mtu mwingine na wamemtuma Bananga kutuma ujumbe wao. Sasa unahitajika ukomavu mkubwa kuvuka hili bila kupasua chama.

Binafsi naona Ally Bananga ni mwanasiasa mkomavu anayeweza kushirikiana na wananchi, wanachama, madiwani na serikali kuletea maendeleo wananchi tofauti na Lema ambaye harakati zake zinafaa kutafutiwa kazi zingine za chama na nafikiri kuwa kiongozi wa kanda inatosha.

Kila lakheri Ally Bananga, operations zako kama diwani na kiungo muhimu wa CHADEMA na wananchi hapo Arusha unastahili kumpokea kijiti Mh. Lema maana unajua shida za wana Arusha kiuhalisia zaidi.
Itategemea siku hiyo wameamkaje
 
Kati ya marafiki zake na mke wake ambae alikuwa mbunge viti maalum CDM,na ambae ametia nia kugombea ubunge Tabora mjini nani yupo karibu nae?. Kwa nini awafate rafiki zake nasio aambatane na mkewe kukipigania chama?.
Mbona Kafulila alimuacha mke wake yeye akaenda kuunga juhudi? Lakini vilevile kwa mfano huo huo Jesca alikataa kumfuata mume wake upande wa pili na ameendelea kukipigania chama chake kwa nguvu zake zote. Kwa huyu bwana lolote linawezekana. Tofauti yake na Lema ni kuwa Lema ameonyesha kwa vitendo kuwa yeye ni mfia chama, huyu bwana bado. Atatakiwa afanye hivyo maana hili swali halikwepeki. Uzuri wake ni kuwa hakuungana na rafiki zake na kuna uwezekano mkubwa kuwa nae ni mfia chama. Ila ni lazima ajue kuwa hawezi kuwa na urafiki wa karibu na wapinzani wa chama chake katika wakati huu wa uchaguzi.

Kafulila alimfuata nani ccm?, aliwafata rafiki zake?..

Suala sio kumfuata mtu suala niuamuzi wako binafsi, Kama akiamua kukaa atakaa na akiamua kuondoka ataondoka. Mimi nachosema hapa nikuwa wapitishwe kwenye Kura za maoni atakaeshinda ndio awe mgombea haya yakusema fualani anatumika fulani hivi huo niupuuzi.

Slaa alizunguka nchi kusema Zitto anatumika na ccm, leo wote tunafaham Slaa yuko wapi na Zitto yuko wapi. Lijuakali kakaa keko/Segerea miezi lakini haikuwa kigezo Cha kutounga juhudi.

Kwahio kukaa gerezan sio kipimo pekee cha kusema kuwa hawezi unga juhudi Jambo lamsingi tuache demokrasia ichukue mkondo wake .Na atakaeshindwa akubali kushirikiana na mwenzake ili jimbo liendelee kubaki CDM.
 
kwa nini ccm wasione Msando atamuuzia jamaa yake Banaga?. Acheni hizo mambo lema anamtaji wa fedha na mali na nimaarufu kuliko Banaga kwa nini asiende jimbo lingine amuachie hapo banaga, mbona Zitto kakubali kuwaachia vijana wake wagombee, CDM muwe na itikadi yakuamini nawatu wengine wanaweza na hili ndio limeonekana hakuna mrithi wa Mbowe kwenye uwenyekiti.

Mbowe,Lissu wote wamechukua fomu ya ugombeaji kwa nini hapo hamsemi Mbowe anatumika asingechukua akamuachia Lissu, mwisho wasiku mruhusu demokrasia atakaeshinda Kura za maoni ndio apitishwe kugombea ubunge tofauti nahapo mtalipoteza jimbo. Napia kipindi wananchi tunalilia katiba mpya tusikubali mtu kuwa mbunge zaidi ya miaka kumi, hii itatoa furusa kwa mawazo mapya kupatikana yatakayotuvusha Kama taifa kwenda mbele.
Mkuuu nakuunga mkono kwa asilimia ukishachukua mara kumi achia damu changa katagute jimbo korofi ugombee maana tayari umaarufu na pesa unazo
 
Ndio ukomavu wenyewe ..
 
Kafulila alimfuata nani ccm?, aliwafata rafiki zake?..

Suala sio kumfuata mtu suala niuamuzi wako binafsi, Kama akiamua kukaa atakaa na akiamua kuondoka ataondoka. Mimi nachosema hapa nikuwa wapitishwe kwenye Kura za maoni atakaeshinda ndio awe mgombea haya yakusema fualani anatumika fulani hivi huo niupuuzi.

Slaa alizunguka nchi kusema Zitto anatumika na ccm, leo wote tunafaham Slaa yuko wapi na Zitto yuko wapi. Lijuakali kakaa keko/Segerea miezi lakini haikuwa kigezo Cha kutounga juhudi.

Kwahio kukaa gerezan sio kipimo pekee cha kusema kuwa hawezi unga juhudi Jambo lamsingi tuache demokrasia ichukue mkondo wake .Na atakaeshindwa akubali kushirikiana na mwenzake ili jimbo liendelee kubaki CDM.
Regardless Slaa nae ni Ccm kwa sasa lkn haiondoi ukweli Zitto alikua anatumika na CCM kuivuruga Chadema.
 
Mimi Kafulila simjui kiasi cha kusema kuwa hakuwa na marafiki CCM ambao walisaidia kumshawishi ahamie huko. Vile vile simjui Banaga kiasi cha kusema kwa uhakika kuwa anatumika. Bahati mbaya uliishia kusoma nilichoandika kuhusu Kafulila. Hukusoma niliposema kuwa mke wake Kafulila hakumfuata mumewe CCM na amethibitisha pasipo shaka kuwa ni mfia chama chake. Banaga nae anaweza kuwa ni mfia chama kama alivyo mke wake Kafulila. Na inawezekana kabisa Lema kuwafuata nyendo za wakina Lijualikali na Slaa ingawa kwa mtazamo wa wengi huo uwezekano ni mdogo. Ninachokisema ni kuwa maswali ya commitment kwa chama chake yataulizwa zaidi kwa Banaga kuliko kwa Lema. Lakini commitment hiyo itathibitishwa zaidi kwa kila mmoja jinsi watakavyopokea kutoteuliwa nao. Kama watakubali matokeo na kumpigania atakaeteuliwa itakuwa ni uthibitisho zaidi kuwa wao ni wanachama committed wa chama chao. Kama watasusa au watahamia chama kingine basi itakuwa wamethibitisha kuwa hawakuwa committed.

Amandla...
 
Regardless Slaa nae ni Ccm kwa sasa lkn haiondoi ukweli Zitto alikua anatumika na CCM kuivuruga Chadema.
Jambo lamsingi hakuna mfia chama, Jambo lakuelewa nimuda ukifika hakuna wakuzuia. Kwahiyo kumuhukumu Banaga eti kisa rafiki ake ni Msando sio kumtendea haki. Hakuna aliekua mfia chama CDM Kama Slaa nahata Mbowe mwenyewe hakua mfia chama kama alivyokuwa Slaa lakini tunajua leo kila mtu kasimama upande upi.Jambo lamsingi Kura za maoni zitaamua .
 
Leta ushahidi wa Dr Slaa kuchukua kadi ya CCM.
Kumbe huwa hamufuatilii mambo?? Dr slaa aliwahi hojiwa ITV miaka hiyo tena akiwa Katibu mkuu wa chadema kuhusu kumiliki kadi ya ccm, alijibu hv, kadi ni mali ya mwanachama hvyo kadi ni mali yng na ni kumbukumbu yangu...hvyo anayo ya ccm na pia anayo ya chadema
 
Back
Top Bottom