Uchaguzi 2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

Ally Bananga,I dont trust this motherfvcker,there's something about him looks fishy
 
Huu ni mtihani ndugu yangu. Usisahau katibu mkuu ni Mnyika na si mtu wa sarakasi otherwise itakuwa ni kuziba pancha jimboni na makao makuu [emoji41]
MTAZAMO tangu Slaa kunyimwa fursa ya kupeperusha bendera mwaka 2015 ilikuuma sana (wewe mtu wa karibu na Slaa, nitahifadhi jina lako) lakini pamoja na hayo wewe huoni ni vizuri kila chama kingeruhusu ushindani wa wazi na wananchi ndiyo waamue? Nasema hivyo kwa sababu hapa umendika ukiwa umeshachagua upande tayari na nina uhakika upande uliochagua ukishindwa kwenye kura za maoni utasema kulikuwa na kubebana.
 
Sina mashaka na huyu Mwamba....tunampenda Lema lkn naona kama CCM wamemkamia sana asipite...Banaga anafaa kwa sasa
 
Dah! Eti mimi mtu wa karibu wa Dr Slaa. Kwanza Dr Slaa hanifahamu, wala ukaribu hata na familia yake. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha Siasa. Wala sipo kwenye circles za siasa zaidi maoni yangu humu JF. Kwahiyo focus iwe kwenye hoja sio mtu.
 
Bananga amekua mwanasiasa bora na Diwani bora sana kwangu kwa kipindi chote cha udiwani. Hongera sana kwake... ndani ya chama anachuana na Lema na akipita kule nje ya chama atapambana swahiba yake Msando.
All the best brother hiyo ndio demokrasia
Bananga na Msando wakagombee uongozi wa kunywa pombe na kuuza sura Inst.

Wote hawapitishwi na vyama vyao.
 
Unajua kuwa Bananga ni kama Mbatia?
 
Kada maarufu wa Chadema na diwani Mstaafu,Ally Bananga ni miongoni mwa Makada wanne wa chadema waliojitokeza kuchukua fomu na kujeresha wanaowania ubunge jimbo la Arusha mjini ndani ya chama hicho.

Akirejesha fomu hiyo Leo katika makao makuu ya chadema jijini Arusha,Bananga amesema kuwa amewiwa kuwatumiki wanaarusha na miaka 10 ya mtangulizi wake ,Godbless Lema inatosha yeye kuanzia hapo alipoishia.

Amesema hana ugomvi wa moja kwa moja na Lema ila wamekuwa wakitofautiana kwa hobbies na kwamba iwapo kura zake hazitatosha atamuunga mkono atakayechaguliwa hata kama ni Lema na hana mpango wa kuhamia ccm ,kwani chadema ni style ya maisha yake.



 
Huyu Bananga si alitaka kikimbilia CCM, alivyoona mipango yake na Msando imevurugika ndio akaamua kubaki Chadema, hana lolote, akitaka abaki Chadema aendelee kuwa diwani kwasababu Lema bado anafaa, kama hataki aende CCM au popote akagombee kama anajiamini.

Ulieleta huu uzi unaonesha wazi una mapenzi na huyo Bananga, umemjazia sifa kibao sijui umemfahamia wapi, au utakuwa unaishi nae nyumba moja, wewe na yeye wote mnachuki binafsi kwa Lema, hamna lolote la maana.
 
Duh!
 
Mbowe kazi anayo, atakuwa tayari kumpiga chini Lema? Lema aliyepokonya laptop ya kina MM, hadi nasi tukausoma waraka.
Watu wa aina ya Lema ni John Heche na Boniface Jacobo.. Ukiingia kwenye anga wanalala na wewe mbele.
 
Kupeleka maendeleo ni wajibu wa serikali wa lazima haijalishi mbunge wao ni mnyenyekevu kwa serikali au lah.
 

Ma Snitch wenzake Bananga hao,usipate nao shida hao.
 
Bora Lema.
Ni mpambanaji mwenye uzoefu.
Kwa Kasi na nguvu ya CCM mwaka huu ni Lema pekee mwenye uwezo kupambana bila kuogopa na kukata tamaa.
CDM wakilogwa waweke mwingine upinzani utakuwa mkali Sana.
 
Bora Lema.
Ni mpambanaji mwenye uzoefu.
Kwa Kasi na nguvu ya CCM mwaka huu ni Lema pekee mwenye uwezo kupambana bila kuogopa na kukata tamaa.
CDM wakilogwa waweke mwingine upinzani utakuwa mkali Sana.
Lema agombee uraisi😅.
 
Bora Lema.
Ni mpambanaji mwenye uzoefu.
Kwa Kasi na nguvu ya CCM mwaka huu ni Lema pekee mwenye uwezo kupambana bila kuogopa na kukata tamaa.
CDM wakilogwa waweke mwingine upinzani utakuwa mkali Sana.
Bananga ndio anaweza kubadili upepo wa siasa za Arusha, Lema hatoboi Arusha tena, hii ni penda usipende ....rudi kwenye uzi huu November utaniambia, Bananga atabadili upepo wote na itabidi CCM wajitafakari upya lakini kwa Lema dawa wanayo ...
 
Huyo ana tafuta sababu ya kuhama chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…