SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kaamua kumfuata mke wake huko CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kubwa sana !Sasa analishwa afanyaje? Angejua huyo anayemsifia angekaa kimya tu. Anyway he is jobless kwa hiyo wacha ajitoe akili maana hana nafasi kwenye chama na udiwani hana sababu alitaka ubunge kwa tamaa zake.
Ohooooo !!Shida kubwa ya Bananga ni Ushamba, Hawa kakutana nae watu wamekula wamemkabidhi kamuoa mke wa pili na waliomla wakampa Ubunge. Sasa anasahau kwamba imebaki miaka 4 na hakuna kuunga juhudi kwa Mama
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Amuulizie, Karua, aliyekuwa mume wa Bonna Kamoli, tena jamaa ni wakili na ela ya kula anayo lakini kina Bashe wakapasuwa anga humohumo.Siku anamfumania na msela mjengoni ndio atatia akili
😍Ukijua ma boss wako wanaimba usafi huku wanaogelea kwenye uchafu unakua smart sana
Ally Bananga ni mwanachadema mwenye akili kubwa sana zaidi ya watu wanavyomwangalia
Kwangu alikua diwani bora kwa kipindi chote cha uwakilishi wake
Majungu kokoAmuulizie, Karua, aliyekuwa mume wa Bonna Kamoli, tena jamaa ni wakili na ela ya kula anayo lakini kina Bashe wakapasuwa anga humohumo.
Chadema ndembendembe mkuu....Naona wapuuzi wa CCM wanavyoshadadia. Subirini chadema itawapa surprise soon
😍Ukijua ma boss wako wanaimba usafi huku wanaogelea kwenye uchafu unakua smart sana
Ally Bananga ni mwanachadema mwenye akili kubwa sana zaidi ya watu wanavyomwangalia
Kwangu alikua diwani bora kwa kipindi chote cha uwakilishi wake na niliwahi kuongea hapa kabla hata mkewe hajawa mbunge
Aibu kubwa sana !
SawaChadema ndembendembe mkuu....
Mwanamke sio wa kumuwekea dhamana, kuna ndezi alijiaminisha kweli eti demu wangu hata nikisafiri miezi mingapi najua yupo salama tu. Sababu sina doubt nae kabisa na ukitaka hata namba nakupa.Amuulizie, Karua, aliyekuwa mume wa Bonna Kamoli, tena jamaa ni wakili na ela ya kula anayo lakini kina Bashe wakapasuwa anga humohumo.
Wahuni sio watu😂Amuulizie, Karua, aliyekuwa mume wa Bonna Kamoli, tena jamaa ni wakili na ela ya kula anayo lakini kina Bashe wakapasuwa anga humohumo.
😍Ukijua ma boss wako wanaimba usafi huku wanaogelea kwenye uchafu unakua smart sana
Ally Bananga ni mwanachadema mwenye akili kubwa sana zaidi ya watu wanavyomwangalia
Kwangu alikua diwani bora kwa kipindi chote cha uwakilishi wake na niliwahi kuongea hapa kabla hata mkewe hajawa mbunge
Huyu kajipeleka hana gharama yeyote.Huyu jamaa keshafika bei,anajitutumua zoezi lifanikiwe.
bananga
Bunge la awamu ya 5 watu wamejipigia sana huko bungeni yani sio mchoyo,marioo acha aendelee kusema bia tamu mana ni mzee wa mserereko hatariShida kubwa ya Bananga ni Ushamba, Hawa kakutana nae watu wamekula wamemkabidhi kamuoa mke wa pili na waliomla wakampa Ubunge. Sasa anasahau kwamba imebaki miaka 4 na hakuna kuunga juhudi kwa Mama
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Kibaya chajitembeza.Huyu kajipeleka hana gharama yeyote.
[emoji56][emoji56][emoji56]Kaamua kumfuata mke wake huko CCM