Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Sasa analishwa afanyaje? Angejua huyo anayemsifia angekaa kimya tu. Anyway he is jobless kwa hiyo wacha ajitoe akili maana hana nafasi kwenye chama na udiwani hana sababu alitaka ubunge kwa tamaa zake.
Aibu kubwa sana !
 
😍
 
Amuulizie, Karua, aliyekuwa mume wa Bonna Kamoli, tena jamaa ni wakili na ela ya kula anayo lakini kina Bashe wakapasuwa anga humohumo.
Mwanamke sio wa kumuwekea dhamana, kuna ndezi alijiaminisha kweli eti demu wangu hata nikisafiri miezi mingapi najua yupo salama tu. Sababu sina doubt nae kabisa na ukitaka hata namba nakupa.

Alipoambiwa atume namba tumuoneshe advertise kaingia mitini namba hatumi!😂
 


Eti Jumbe Brown, kwani kuhama sehemu ni dhambi?

😍


Nimekua mfuasi mzuri mnoo wa huyu Bananga na ni kati ya wanasiasa ninaowaheshimu
Mungu amtangulie kwenye safari yake hii
 
Shida kubwa ya Bananga ni Ushamba, Hawa kakutana nae watu wamekula wamemkabidhi kamuoa mke wa pili na waliomla wakampa Ubunge. Sasa anasahau kwamba imebaki miaka 4 na hakuna kuunga juhudi kwa Mama

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Bunge la awamu ya 5 watu wamejipigia sana huko bungeni yani sio mchoyo,marioo acha aendelee kusema bia tamu mana ni mzee wa mserereko hatari
 
Kwa hiyo huyu ndio wakwenda peponi na MaCCM wenzie..?! Nauliza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…