Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa hapo i stand with bananga,jamaa ni very smart aiseeNimemsikiliza Star Tv hakika hatuna mwanachama pale ,Kashaenda CCM yule ni matter of time.
Ushabiki wa vyama na matusi pembeni, ungekuwa ni wewe mkuu katika mtangange huu ungefanyeje; huku ukijua kabisa jinsi siasa zetu zilivyo za hovyo na zisizoaminika?Naona wapuuzi wa CCM wanavyoshadadia. Subirini chadema itawapa surprise soon
Sahihi kabisaMkuu kwa hapo i stand with bananga,jamaa ni very smart aisee
kuna itikadi na kuna family.
Kuna kanuni inasema mwanamke wako ni jukumu lako kusmama upande wake hata kama ana onekana kakosea kias gani kwenye jamii stand with her,,
Mwanamke anarekebishwa mkiwa wawili ndani tartibu ila nje lazma umheshimishe na umuonyeshe you stand with her.
Na hii ndo mbinu ya kivita kum badilisha mwanamke tabia yeyote usioipenda.
chkua iyo kama ulikua hufaham.
Ukimsagia kunguni nje ndo unaharibu kila kitu.
Mkuu hizo ndo busara za suleiman.
Unaangalia anaelisha familia au upendo mkuu? Kama upendo upo hata akilisha mkeo hamna kinachoharibika wala kelele zitakuwa hakuna!Kwa sasa anayelisha familia ni mama au baba?
Tuanzie hapo kwanza.
Ally Bananga sio Chadema tu, Mipango yake na ubunifu wake wakati wa kampeni za uchaguzi 2020 ndio uliomfanikisha Lissu na chadema angalau kupata kura walizopata. Sijui nani aliyefanikisha mkewe kuwa miongoni mwa Cov19, lakini alizingatia hili.Ukijua ma boss wako wanaimba usafi huku wanaogelea kwenye uchafu unakua smart sana
Ally Bananga ni mwanachadema mwenye akili kubwa sana zaidi ya watu wanavyomwangalia
Kwangu alikua diwani bora kwa kipindi chote cha uwakilishi wake na niliwahi kuongea hapa kabla hata mkewe hajawa mbunge
[emoji106]Good, good! Mwisho wa siku lazima mtu asimame kwenye ukweli. Familia kwanza kabla ya kitu chochote. Huwezi kutelekeza famila halafu eti ukawa mtiifu wa chama. Hata Lissu na Lema walikimbilia nje ya nchi na familia zao! Hawakukimbia na Chadema wala wana Chadema!
[emoji106]Unaangalia anaelisha familia au upendo mkuu? Kama upendo upo hata akilisha mkeo hamna kinachoharibika wala kelele zitakuwa hakuna!
Cha muhimu zile million 300 zipatikane baada ya miaka 5 ya ubunge!
Peoplezzzzzzzzzz! Mzee Ali mlikosea kunwacha mamalissu na missworld wa nyalandu. Pia mngeongeza royalnorth - hii huitwa return on investment haya yote yasingewapata peoplezzzzzzz!"Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama,
Kuliweka hili kwa ufupi mimi nitasimama aliposimama mke wangu kwasababu sikufunga naye ndoa CHADEMA, sikufunga naye ndoa mitandaoni nilifunga naye ndoa msikitini, kiapo changu kwake ni kumlinda kwa gharama ya damu yangu....
Lolote lenye udhaifu kwake ni wajibu wangu kulipa uimara, ndio kitu cha thamani ninachomiliki, nitamlinda mama wa watoto wangu
"-Mwanasiasa Ally Bananga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Chanzo: Star TV
Naunga mkono hoja, kwenye hili la wabunge 19, nasubiri kwa hamu matokeo ya kikao cha Baraza Kuu.kwenye siasa. Muunge mkono mke kwa sababu yuko sahihi na sio kwa sababu ni mke wako. Sidhani kama kuna mtu Chadema mwenye mpango wa kumdhuru mke wake hadi afikie kusema atamlinda kwa damu yake yote. Kwa maneno haya amekuwa sawa na wakina Lijualikali kwa kuona kuwa hawezi kupata bila ku insinuate kuwa uongozi wa Chadema ni majambazi na wanaweza kumdhuru mtu waliotofautiana nao. Hajafanya vizuri.
Amandla...
Mkuu kwa hapo i stand with bananga,jamaa ni very smart aisee
kuna itikadi na kuna family.
Kuna kanuni inasema mwanamke wako ni jukumu lako kusmama upande wake hata kama ana onekana kakosea kias gani kwenye jamii stand with her,,
Mwanamke anarekebishwa mkiwa wawili ndani tartibu ila nje lazma umheshimishe na umuonyeshe you stand with her.
Na hii ndo mbinu ya kivita kum badilisha mwanamke tabia yeyote usioipenda.
chkua iyo kama ulikua hufaham.
Ukimsagia kunguni nje ndo unaharibu kila kitu.
Mkuu hizo ndo busara za suleiman.
Atamlinda Kwa damu wakati gani? When she is right or wrong?Nimemsikia Ally Bananga kwenye mahojiano, nadhani amepanic nakuanza vita bila kujua anapambana na nani. Amepambana na Lisu, Lema, Mnyika kwa maana wamekosea sehemu flani kutokana na tweet zao juu ya kukutana na Rais, Diamond pamoja na wabunge 19...
Kashafika bei yule hamna mtu , wamtimue tu haraka.Nimemsikia Ally Bananga kwenye mahojiano, nadhani amepanic nakuanza vita bila kujua anapambana na nani. Amepambana na Lisu, Lema, Mnyika kwa maana wamekosea sehemu flani kutokana na tweet zao juu ya kukutana na Rais, Diamond pamoja na wabunge 19...
Bananga ni mdogo Sana kwenye siasa....amekuja kuwa mario anategemea mke wake asilimia 100...na ndo maana ukiangalia insta anatuonyesha kuwa anapenda na mke wake saaaaaaana kumbe jamaa ni msoma ramani
Siyo mdogo kwenye siasa hasirani kama unamaanisha miaka aliyoanza kujishughulisha na siasa. Labda kama ungesema udogo kwa maana ya uimara wake kisiasa( Political and ideological stand). Mimi namuona mdogo Kwa maana ya mtizamo wake( ideological perspective)Bananga ni mdogo Sana kwenye siasa....amekuja kuwa mario anategemea mke wake asilimia 100...na ndo maana ukiangalia insta anatuonyesha kuwa anapenda na mke wake saaaaaaana kumbe jamaa ni msoma ramani
Siku anamfumania na msela mjengoni ndio atatia akiliBananga kwisha habari yake atulie alelewe tu sasa
Unauza utu wako kwa maslahi ya mwanamke
Kaka Bananga wanageukaga vibaya hao shauri yako