Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Hahahaa inabidi awe anapiga sana mchuzi wa pweza na puturu ili aendelee kuheshimika maana ukiwa marioo inabidi usimamie kucha.
Kabisa....maana jamaa anajifanya yeye ndo anampenda mke wake kuliko wengine kumbe jamaa anamendea kamshahara....kingine Hana lugha ya mtu mzima zaidi ya maneno ya kihuni mdomoni mwake....na hapo chadema inakosea Sana kuwapa dhamana watu wa aina hii...ngoja aje akutane na kidume kinamla mke wake ndo akili itavujia ....yeye anafikiri ubunge wa mke wake ni wabure....
 
Tatizo la upinzani kila mtu ni kambale, Mambo haya huwezi yakuta Sana CCM mnakumbuka nape alipigwa mkwara na ndugai kuhusu wabunge 19.Nape akatulia kiimya.Hakubwatukabwatuka Kama kina bananga.
 

Ilifaa zama za ccm ya mwendazake kuunga juhudi angalau angeambulia chochote
 
Sio sababu ya mkewe kuwa mbunge, Bananga ni akili kubwa.... anajua kuishi ndani ya itikadi bila kuathiri jamii
Bananga hanaga akili za kushikiliwa
Kwa hiyo mkewe hata akitenda uovu atamlinda tu? Kwa Nini asimsaidie kumwondoa kwenye songombingo la kupata ubunge usiostahili? Je viapo vyao huko msikitini viliruhusu kula hata visivyostahili?
 
Haahaa, kazi ipo....
 
Njaa mbaya,
jamaa mkewe ndo anahudumia familia kwasasa kwahyo akienda tofauti nae hakuna huduma
 
Chadema ni kikundi cha Sacco's woteeee, ni maslahi tu. Na kila mtu kwa wakati wake Akifika bei Basi lazma mtamuona msaliti wakati nanyi mkisubiri watu wapande dau.

Hao kina mdee wote pia mliwaita makamanda kwa nyimbo na mapambio leo wamefika bei, si bure ndo Mana tulikaa pembeni na Slaa wetu ambaye naye Alifika bei.

Hakuna chama hapa ni kikundi cha wasanii tu
 
Akishalipwa mke wake zinasaidia familia.Mnataka asimame nanyi mnaitunza familia?
Kwa mwanaume makini hakustahili ajibie hoja zakikatiba kupitia mke wake,
Ameuza utu wake kwa maslahi ya wawili na si taifa.
SIKU NYINGINE ANYAMAZE TU.
Umemaliza tufunge mjadala.
 
Njaa inakusumbua Siku watakapofukuzwa Bungeni na kuambiwa Warudishe hizo Pesa tutaona kama Utasimama nae
 
Chadema mpaka leo hawajui ni kipi Bora cha kusimama na kukisimamia, mara Daimond, mara wabunge 19, mara katiba, mara mwendazake, mara mfumo, sijui All Hapo, kila kitu wanagusagusa tu, hawana aganda ya pamoja

Wamepoteana hawaeleweki, na sasa agenda nyingine imeongezeka ya Bananga
 
Jana nimemwangalia yule siyo CHADEMA hata robo bora tu arudi nyumbani kwake CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…