Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Kwa hiyo maza hata akiharibu vipi yeye anasimama naye, haya makapi ya CCM wayatoe yote
 
Ushabiki wa vyama na matusi pembeni, ungekuwa ni wewe mkuu katika mtangange huu ungefanyeje; huku ukijua kabisa jinsi siasa zetu zilivyo za hovyo na zisizoaminika?
Uko sahihi kabisa, point yangu iko kwa CCM wanavyoshabikia
 
CHADEMA bora wamfukuze aende ataendelea kuharibu taswira ya chama
 
Angesema tu kuwa hili suala lipo kwenye ngazi za maamuzi tusubiri maamuzi ya chama, sema yule sijui Aloyce Nyanda naye ana maswali magumu sn nadhani ndiyo mtangazaji anayejielewa kwa sasa( yeye na Dotto Bulendu)
 
Jinsi MaCCM yanavyo mpongeza sasa,
MaCCM wanaonaga raha tu na biashara yao kununua hawa viumbe kama kuku sokoni.
 
Eti nasimama na mke wangu je akimsaliti je atashangilia?
 
Mke akiwa na kipato kikubwa sana zaidi ya mme,basi hapo kuna uwezekano mkubwa sana wa mme kugeuzwa ndondocha/msukule/taahira/house boy/mtumwa.
Wanaume tuliambiwa tutakula kwa jasho,iweje mvuja jasho awe mwanamke?
Bananga ni mswahili yeye kazi yake ni moja kumshughulikia maza
 
Iwe mkewe ndio analeta msosi mezani au haleti, kwa maamuzi ya kifamilia NAOMBA TUWE WAKWERI, jamaa ametoa jibu sahihi kwa swali.

Kwa ufupi, ni heri kusimama na mkeo katika upuuzi wake mbele za watu, na kumkanya mkiwa faragha.

Ni heri kuficha migogoro ya kifamilia mbele za macho ya walimwengu, kuliko kujifanya unawaridhisha walimwengu..maana huwa hawaridhiki, rejea kisa cha PUNDA na yule Bwana na MKEWE.

Wanaume tujifunze KUSIMAMA NA KUTETEA WAKE ZETU MBELE ZA WATU NA KUWAKANYA FARAGHA.

UNAMUANIKA MKEO MBELE ZA WATU ili UWARIDHISHE WALIMWENGU....WANAKUPA NINI?
 
Ukijua ma boss wako wanaimba usafi huku wanaogelea kwenye uchafu unakua smart sana

Ally Bananga ni mwanachadema mwenye akili kubwa sana zaidi ya watu wanavyomwangalia

Kwangu alikua diwani bora kwa kipindi chote cha uwakilishi wake
Nimekumbuka kauli ya JKN: 'Umalaya wa kisiasa'
 
Anajielewa Sana huyu Bananga!!

Hongera kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…