Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haha, .orodhaa nimekumbuka kitabu orodha/the list cha Furaha,..Ngoja utaona ule uzi wa oridha unafufuliwa
Hahahah[emoji1] naskia alipinga mnoNikimsikia Ali Choki nakumbuka wosia Wa Diana Aston Villa
Enzi hizoooHaha, .orodhaa nimekumbuka kitabu orodha/the list cha Furaha,..
yamekuwa hayo tena wakuu !Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
Mswalie Mtume mkuu .Nikimsikia Ali Choki nakumbuka wosia Wa Diana Aston Villa
Hahaha ndio.yamekuwa hayo tena wakuu !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pastaaaaaa,.whozaEnzi hizooo
Pastor alimuita mtoto usiku taa ikiwa imezimwa[emoji3]
Mkuu kitabu cha le baharia bado tu ?Choki mzee wa farasi ugua pole Mungu atakusaidia
Noma sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pastaaaaaa,.whoza
Ni kweli kabisaNaona mgonjwa ashaanza kunangwa, jamani tusinyanyue midomo hata sisi hatujui hatima zetu. Mtakieni siha njema mengine Mungu ataamua.