Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yule Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa Dansi aliyewahi kutamba na bendi za Twanga pepeta na Extra Bongo amelazwa kwenye hospitali ya Bugando , na imeelezwa kwamba hali yake hairidhishi.
Chanzo: Mwananchi
Ombi : tumsaidie apone .
"Nina mdodo wangu waangusha moja moja leo , Inama inuka eee , waangusha moja moja leo "
Chanzo: Mwananchi
Ombi : tumsaidie apone .
"Nina mdodo wangu waangusha moja moja leo , Inama inuka eee , waangusha moja moja leo "