Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.Ila kiukweli toka moyoni, ni Mungu tu anayetuepusha na haya mambo.
Nikifikiria chain ya huu ugonjwa basi unajiona kabisa umo ndani ya chain.
Link ya uzi tafadhali.Ukiwa maharufu ni bora usiufungue[emoji23]
Unakuta eti mtu anamcheka aliyeugua hili gonjwa[emoji15] [emoji15] ....huwa nashangaa sana! Bora hata yy kajua atatubu ajiandae na safari mapeema! Mimi na wewe hatujui hata tutaondoka na nini! AchaaNi kweli kabisa maana mtu ukijecheki ulipopita na ulivyo mzima kwa sasa,ni Muumba tuu ndio anatuepusha aisee.
Shida ya kino Unga wa Kulevya ni mwingi sana kuliko unga wa UgaliHadija mnoga kawa teja?
Hivi kinondoni huwaga kuna tatizo gani?
Wachache sana hawabwii unga...
Link sina mkuu.ila uki search majina yao utaupataLink ya uzi tafadhali.
"Nashangaaa kuona anakula ,vitu vya bei ya juu,kuliko gharama alizotoa"....Nimekumbuka mbaaaaaliii.....
Weekend nilikuwa kule studio kwa shost....tukaamua tuzurure kidogo, asee manyanya na B ni noma! Yaan wanaume wananeng'eneka tuu hadi huruma!Shida ya kino Unga wa Kulevya ni mwingi sana kuliko unga wa Ugali
Asante.Kuna watu huwa wanajifanya wajanja....kwenye huu ugonjwa hakuna master ni ile tu unaepushiwa na Mwenyezi!
Orodha ya nini?Ngoja utaona ule uzi wa orodha unafufuliwa
We tutake radhiWeekend nilikuwa kule studio kwa shost....tukaamua tuzurure kidogo, asee manyanya na B ni noma! Yaan wanaume wananeng'eneka tuu hadi huruma!
Hata mademu zao micharuko na kuropoka hovyoo no pozz!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We tutake radhi
Nikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.Kwa mimi kua na amani tu, nko fit.
Labda wengine uliopita nao.
Na ni ngumu kuifuta!Nikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.
So usicheke.
Omba tu Mungu.
Chain ndefu sana tumeitengeneza.
Na hii ni chain ya muda wa miezi 6 au 7 tangu tufahamiane.Na ni ngumu kuifuta!
Asee sana..ni nomaNa hii ni chain ya muda wa miezi 6 au 7 tangu tufahamiane.
Achilia mbali ile ya wakati nafanya kazi Vegas Casino.
Hahahahahaha......tumbo joto huko.
Ni kuomba tu kwa MunguAsee sana..ni noma
Wote hao tulupiga dry chama kwani😪😪?Nikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.
So usicheke.
Omba tu Mungu.
Chain ndefu sana tumeitengeneza.
Mie kwangu imekatika maana baada ya pale mara kibao tu nei nei ha ha ha ha ha so npo vzr. Ila yule uliefumwa nae mune wa mzungu labda maana sio siku nyingiNikifa mimi, wewe utakufa, wa Arusha atakufa, yule rafiki yako wa polisi Mwinjuma atakufa, yule rafiki yako wa Hananasif mume wa mzungu pia atakufa, yule shemeji yako wa kiume pale Nyamala nae atakufa.
So usicheke.
Omba tu Mungu.
Chain ndefu sana tumeitengeneza.