the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Muulize afya gani wakati hospitali hakuna dawa? Muulize Maji gani wakati Dar tu Jiji Kuu la Biashara Ubungo, Kimara na Mbezi hakuna Maji?Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally
Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata.
Ameeleza kuwa mabadiliko hayo yameletwa na Rais Samia, ambapo mabadiliko hayo ni uwepo wa maji na huduma za afya pamoja na mabadiliko mengine.
View attachment 3240839
Hao wakuuliza hayo maswali kaka ndiyo wapo hapo wanashangalia kila wanachoambiwa as if wanakaa mbinguni hizo shida hawazioniMuulize afya gani wakati hospitali hakuna dawa? Muulize Maji gani wakati Dar tu Jiji Kuu la Biashara Ubungo, Kimara na Mbezi hakuna Maji?
Muulizeni twende kwenye uchaguzi wanaoengua wagombea wa Upinzani ili iweje?
Muulizeni twende kwenye uchaguzi ambao Nape alisema unategemea na anayetangaza matokeo na sio kura za Wananchi ili iweje?
Haya majitu yanakera Sana.Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally
Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata.
Ameeleza kuwa mabadiliko hayo yameletwa na Rais Samia, ambapo mabadiliko hayo ni uwepo wa maji na huduma za afya pamoja na mabadiliko mengine.
View attachment 3240839
Ukiangalia hao wasikilizaji wake, wengi wao wanamshangaa tu.Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally
Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata.
Ameeleza kuwa mabadiliko hayo yameletwa na Rais Samia, ambapo mabadiliko hayo ni uwepo wa maji na huduma za afya pamoja na mabadiliko mengine.
View attachment 3240839
Mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi unafanya uchaguzi mkuu wa chama ....Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally