Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sababu ya kumshitaki huyu chiziHivi FAM akienda nacho kwa pilato haka katapona kweli!!??
Mahabusu but hakushtakiwa. Labda kama angekuwa mfungwaAshitakiwe ki vp wakati hayo hayo yote tunayajuwa!? Hakuna jipya,ni kweli Mbowe alikua Jela na DPP akaondoa kesi bila reason!!
Hao maccm Kwa kuwa wana-polisi, Kwa hiyo wanajua wanaweza wakambambikia kesi ya aina yoyote Ile raia asiye na hatia.Wakuu,
==
Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe.
Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa kutaka kulipua vituo vya mafuta, mpango ambao ulipeleka kiongozi huyo kukamatwa na kukaa rumande kwa muda, kabla ya Rais kumsamehe na kuacha awe huru.
"Freeman Mbowe alikuwa na kesi ngumu sana ya kutengeneza machafuko kutaka kulipua vituo vya mafuta wananchi wafe. Mashtaka yale yakafutwa, Mbowe akarudi uraiani na wenzao wengine wakarudi uraiani. Rais Samia kwa upendo wake akasema hawa ni watoto wangu. Hebu waacheni warudi uraiani wakafanye siasa. Pamoja na wema wote aliowafanyia huo, leo shukrani ya punda ni mateke"
Ikumbukwe kuwa Freeman alikamatwa na Jeshi la Polis Jijini Mwanza mwaka Julai 2022 alipokuwa akiandaa kongamano la kushinikiza mabadiliko ya katiba mpya nchini humo ambapo mara baada ya kukamatwa alikabiliwa na mashtaka ya ugaidi ikiwemo mauaji ya viongozi.
kwani huyo alluy happy hakumbuki alikotoka eti eeWakuu,

Kuliko mumeo?Mbowe mtu hatari sana
Na Mbowe hakuwahi kuomba msamahama hata dak mojakwani huyo alluy happy hakumbuki alikotoka eti ee
Kwa hiyo alitolewa kwa kuombwa na mbowe au kesi ilikuwa haina mashiko
Polisi ya hovyo kuwahi kutokea inatumika na CCMHao maccm Kwa kuwa wana-polisi, Kwa hiyo wanajua wanaweza wakambambikia kesi ya aina yoyote Ile raia asiye na hatia.
Hivi kweli Kuna mtanzania yeyote anaweza kuziamini propaganda za hao maccm kuwa Mbowe alitaka kuvilipua vituo vya mafuta hapa nchini??😳
Leo angalau naona umemeza vidonge vyako...dishi kama lina mwelekeo hiviWell,sometimes CCM inafelishwa na watu wenye upeo wa hovyo kama hawa.
CHADEMA NI WAHUNI TU KAMA WALIVYO WAHUN IWENGINEWakuu,
==
Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe.
Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa kutaka kulipua vituo vya mafuta, mpango ambao ulipeleka kiongozi huyo kukamatwa na kukaa rumande kwa muda, kabla ya Rais kumsamehe na kuacha awe huru.
"Freeman Mbowe alikuwa na kesi ngumu sana ya kutengeneza machafuko kutaka kulipua vituo vya mafuta wananchi wafe. Mashtaka yale yakafutwa, Mbowe akarudi uraiani na wenzao wengine wakarudi uraiani. Rais Samia kwa upendo wake akasema hawa ni watoto wangu. Hebu waacheni warudi uraiani wakafanye siasa. Pamoja na wema wote aliowafanyia huo, leo shukrani ya punda ni mateke"
Ikumbukwe kuwa Freeman alikamatwa na Jeshi la Polis Jijini Mwanza mwaka Julai 2022 alipokuwa akiandaa kongamano la kushinikiza mabadiliko ya katiba mpya nchini humo ambapo mara baada ya kukamatwa alikabiliwa na mashtaka ya ugaidi ikiwemo mauaji ya viongozi.
ElimuAlly Hapi ana mawazo duni sana