Pre GE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pilipili za mwendokasi zimekula medula yake.!
 
Hao maccm Kwa kuwa wana-polisi, Kwa hiyo wanajua wanaweza wakambambikia kesi ya aina yoyote Ile raia asiye na hatia.

Hivi kweli Kuna mtanzania yeyote anaweza kuziamini propaganda za hao maccm kuwa Mbowe alitaka kuvilipua vituo vya mafuta hapa nchini??😳
 
kwani huyo alluy happy hakumbuki alikotoka eti ee

Kwa hiyo alitolewa kwa kuombwa na mbowe au kesi ilikuwa haina mashiko
 
Alli Happy ni kati ya watu wapumbavu ambao wanaamini kila mtu anaishi kwa hisani ya Rais
 
Polisi ya hovyo kuwahi kutokea inatumika na CCM
 
Mapambio yakiisha huwa wanaanza kuchafua hali ya hewa! Akili za ajabu kweli!
 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Jumuiya ya CCM - Taifa, Ally Hapi, ameeleza kusikitishwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukosa shukrani kwa madai ya kuwa pamoja na mambo mazuri yote waliyofanyiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan lakini wameishia kumtukana.

Akihutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Hapi amesema “Shukrani ya punda ni mateke, wameanza kuzungumza wanatukana na kuleta uchochezi wanataka kutugawa na kuleta machafuko, Rais amewafanyia wema mkubwa, mikutano wamepewa, ruzuku wamepewa, maandamano ruksa, magereza wametolewa, hawana shukrani, nataka niwahakikishie tusikubali amani tuliyonayo tukaichezea”

Your browser is not able to display this video.
 
CHADEMA NI WAHUNI TU KAMA WALIVYO WAHUN IWENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…