Pre GE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu yeyote anaeamini taarifa za intelijensia za Polisi au hata Usalama wa Taifa kwamba Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta ili watu wafe hana akili sawasawa, hata kama ana cheo cha uraisi.

Hayo mabomu ya kulipua vituo vya mafuta ambayo Mbowe anageyatumia yangekua yakibagua ndugu zake Mbowe na watu wa Chadema?
 

Wabongo ni specie ya ajabu sana, na hili eti watalimeza bila hata kufikiri wananchi wangapi watakuwa kwenye kituo cha mafuta eti Mbowe akarisk maisha yake! ccm ndo maana inakazana watu wabaki na ujinga wao miaka 60 baada ya uhuru sasa
 
Kwanini walimsamehe ? Kwahio hii nchi inasamehe waharifu ? Nadhani tupunguze Siasa kwenye mambo muhimu na hivi sasa Siasa ndio Cancer ya hili Taifa...
 
Wakuu,

==
Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe.

H

Hivi kumbe na ally hapo akili zake zimeishia hapa?
 
mambo ya dini ya mini haha.
 
Haki nimecheka, yaani siasa za tanzania, tuna safari ndefu sana. Sijuhi kama nchi watu wetu watakombolewaje kifikira.
Sasa ukibank Kwa mtu kama huyu kijana kuwa katibu wa taasisi kubwa kama hii unategemea kitu gani hasa. that's why we are doomed
 
Haka kajamaa ni kapimbi sana asee yeye na yule kawaida ccm iliwezaje kuwapa vyeo watu wa ovyo vile
 
 

Attachments

  • VID-20241003-WA0005.mp4
    14.7 MB

Hivi kwa nini hivi vitoto vijinga jinga huwa havijifunzi tu ....The AXIS OF EVIL .... Makonda, Hapi, Sabaya, Mnyeti ...!!
 
aisee inatia kinyaa mtoto wakiume kuongea uongo wa hv, napenda mtu anaongea kwa data analysed evidence, siasa za hovyo sana hz
 
Adanganye hao hao wa huko msalala sisi huku mbeya tutamrushia CHUPA za plastic zenye maji.
 
Freeman Mbowe, hela hizo hapo...

Huyu ana mali nyingi tu, anaweza kulipa fidia yoyote atakayopigwa kuliko kina Cyprian Musiba au Peter Msigwa....

This is pure defamation and character assassination criminal offence.....

Hawa viongozi wapuuzi na wajinga wajinga wa CCM wasio na break ktk midomo yao, wanapaswa kupelekwa mahakamani kwa majina yao (sio vyeo vyao) ili wakathibitishe upuuzi wa maneno yao hayo ya kujiropokea tu simply because they are so desperate to remain into power...
 
Mkuu kusamehe ni hiyari ya Rais kama ilivyo hiyari ya mwendesha mashtaka Kufuta kesi.

Hiyo haimaanishi kuwa mtuhumiwa ana hatia. Kwa hiyo Hapi alikuwa anawajaza upepo wananchi akijua kuwa hawana upeo wa kupambania mambo.

Hakuna hukumu ya mahakamani iliyo mkuta Mbowe kuwa na hatia. Kwa hiyo nawe usiposte watu.
 
Ila kuna watu wanaongeaga uwongo hata aibu hawaoni kabisa. Magaidi si yale yanayopambana na Israel na CIA?
 
Hawa ndio wanasiasa mufilisi.Wanasiasa 'debe tupu' waliofilisika sera na hoja kichwani.Hawa ndio kubwa mno nchi hii.Watz wanataka MAJAWABU ya shida zao.
 
This is typically defamation, MBOWE amfungulie mashitaka, asikae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…