chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kesho Manara lazima aende Likoni, Mombasa, akipitia kwanza kwa Msisi na Pangani, yaani yatapigwa Makopela na vipande, na majini ambayo yataongea kupitia nafsi ya Ally Kamwe, yaani yeye anakuwa hajijui kama anaongea au anaandika barua ya kuacha kazi, yakishamtoka, ndio anastuka aaaahhh!!