Ally Kamwe arudishwa kwenye nafasi yake kama kawaida

Ally Kamwe arudishwa kwenye nafasi yake kama kawaida

Ajiandae kurogwa Sasa, maana yule ndugu yetu tunamjua wenyewe, hana dogo kabisa.
 
Namshauri Haji akomae, apinge huu mkataba kwa nguvu zote...

Nahitaji kuona migogoro zaidi hapo kidimbwi fc...

Itakua huku Magoma huku Manara...

Ngoja tuchochee motoo...
 
Hivi ni kweli washabiki wa yanga hamumtaki haji? Nyie si mnasema haji ni kiboko ya wanasimba?
Manara huyuhuyu aliyesema Yanga wenye akili ni watu wawili tu?? Yule jamaa aendelee tu kuwa mhamasishaji ila usemaji amwachie tu Ally Kamwe yule dogo kaitendea haki kazi yake na wanayanga wamemkubali
 
Mumlinde sasa , msiishie tu kusema hivyo ,maana sasa anaingia kwenye vita ya nguvu za giza
Hivi kwanini Wa Tanzania tuanamini sana kwenye ushirikina?

Yani mada nzima watu wanawaza ushirikina tuu. Hivyo vita vingekuwepo basi vingefanya kazi kwa raisi wa TFF aliyemfungia kifungoni.

Ushirikina ungekuwepo Basi mikoa inayoongoza kwa ujinga wa kumini ushirikina ungekuta timu zao wangeongoza ligi kila mwaka.
Ila chaajabu usajili wako mzuri ndo utakao kupa kombe sio hizi stori za vijiweni zakumini ushirikina.
 
Back
Top Bottom