Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU

[emoji2788]"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.

[emoji2788]Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally , kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.

[emoji2788]Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri , mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

[emoji2788]Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .

[emoji2788]Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.

Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".

Sasa mimi km mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi". Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.

Haya sasa kakujibu kiutu uzima km baba. Kazi kwako.

Mimi najiuliza dogo alikuwa anatafuta nini? Mgunda ameingiaje?
 
Klabu ya yangu Yanga inatakiwa itoke hadharani imuombe radhi Mgunda. Maana kauli ya Ali Kamwe ni kauli ya Yanga. Kudhibiti mambo kama haya siku za mbeleni huyo mtu awajabishwe.

Nilidhani tumetoka zama za kina Jerry Muro na Manara kumbe bado.
Hata mimi naona ni vyema Yanga imuombe radhi Mgunda na sisi tusiokuwa na upande kati yao ila hatupendi tabia chafu km alizozionesha huyu dogo.
 
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU

[emoji2788]"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.

[emoji2788]Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally , kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.

[emoji2788]Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri , mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

[emoji2788]Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .

[emoji2788]Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.

Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".

Sasa mimi km mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi". Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.

Haya sasa kakujibu kiutu uzima km baba. Kazi kwako.
Ww umeandika haya ukiwa kama nani
 
Maneno mazito sana kaongea. Kwani Ali Kamwe alianza vipi hadi kufikia kwa Mgunda? Mbona mechi ni Yanga vs USM Alger na bora hata angekuwa kamtupia madongo Ahmed Ally tungesema labda karudisha madongo. Sasa huyu baba wa watu kamuanzia nini?
Kampigia sim kamuomba msamaha ndo akamuomba na msamaha insta
 
Hiki kitengo kimekosewa sawa kuwapa watoto wavulana, kilipaswa kipewe watu wazima ambao wana busara, hekima, na wanaojielewa. Sio hawa wavulana wanaondeshwa na mihemko na utoto mwingi.
Apewe Tobias Kifaru
 
Kakosea
Ameomba radhi
Yameisha
Ni utani wa jadi tu mtu hachaguliwi Cha kutaniwa Wala sio tusi
Yanga na Simba Ni watani wa jadi
Utani hauchagui mtu, jinsia, Wala Rika
Au nyie Makolo mseme hadharani Kama hamtaki utani
Young Africans
Bingwa cafcc
 
BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU

🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu.

🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha Nilidhani kampeni itakuwa ni kushinda fainally , kuliko hiki alichokifanya Mwanangu Ally Kamwe.

🗣️Namuombea kwa Mungu awe na mwisho mzuri , mimi nimeshuhudia watu wengi wakifanya kazi Yanga na Simba na sasa wapo nje ya mfumo.

🗣️Kama nilipaswa kutukanwa ili Yanga ishinde basi nimekubali ili Taifa langu lijivunie .

🗣️Tusiposhinda kesho nitashangaa sana kwanini tumefungwa wakati kilichotakiwa kifanywe kimefanywa juu yangu na familia yangu" Kocha Juma Mgunda.

Akiwa ktk kampeni za mechi ya tarehe 28/05/2023 huko Zakhiem Mbagala aliwauliza mashaabiki kati ya "Mgunda na andazi" utachagua nini. Mashaabiki wakaitikia "andazi" . Hakutosheka akauliza tena"kati ya wasimamizi wa Feisal na andazi utachagua nini. Mashaabiki tena wakajibu "andazi".

Sasa mimi km mtu mzima naona Ally Kamwe alichofanya ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa malezi na makuzi ya wazazi wake. Huwezi kumlinganisha mtu mzima mwenye umri sawa na baba yako na "andazi". Mgunda amekuwa Hana utani wa Simba na Yanga hata ktk media sjawahi kumskia akitoa maneno ya shobo kwa Wana Yanga. Iweje leo mbele ya watu tena wa rika tofauti tofauti umlinganishe na andazi.

Haya sasa kakujibu kiutu uzima km baba. Kazi kwako.
Huyo mtoto ni fala kabisa, Yanha inabidi imtafakari upya.
Utani wa Simba na Yanga umekuwepo kwa miaka mingi lakini si kwa namna kanavyoupeleka au baadhi wanavyouchukulia siku hizi.
Nilishangaa sana siku alivyoandaa sijui tamasha na kutaka watu wajitokeze kuicheka Simba, pale niliona kabisa vile ambavyo anapotoka.
Sababu kwangu niliona ni mara ya kwanza nikachukulia kuwa ana muda wa kujirudi na bahati nzuri watu ni kama walikua na uelewa kama wangu poa kwani kelele zilipigwa k8dogo but baadaye wakapotezea.

Mgunda amekuwa akibezwa sana na Mashabiki, lakini hilo kwake halijawahi kuwa shida sababu ndiyo eneo la mashabiki kutambiana na bila hivyo huwa ladha ya ushabiki haikamiliki. Kitendo cha msemaji rasmi kwa kutumia nafasi yake na platform ya club kumbeza Mgunda hili kamwe halikubaliki, huku ni kama Yanga inachafua image ya mtu na hivyo kumharibia career yake.
Huyu dogo na Feytoto hawana tofauti, na yeye anapaswa kujiweka pembeni kwa upuuzi wake au Yanga wamuadabishe hata kwa kumsimamisha kwa muda au kumuomba ladhi Mgunda ili kujitenga na matamshi yake.
 
Alikosea na amekiri kukosea na kujutia. Ameomba radhi, hata kabla ya Mgunda kuzungumza.
Dhihaka hiyo aliitamka mbele ya kadamnasi ...Atumie platform kama ile aombe radhi...

Kuandika hayo mashudu kwenye mtandao wa kijamii na kudai kaomba msamaha ni kujijaza upepo....Kwani hiyo dhihaka kwa Mzee Mgunda aliitamka kwenye social media??
 
Nimeandika hivyo pia. Akaombe radhi mbele ya kadamnasi.
 
Back
Top Bottom