Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi zilivyosababisha mama yake mzazi kupata mshtuko na kukimbizwa hospitali.

Amesema hayo wakati akizungumza na Wasafi FM, leo Machi 7, 2025 siku moja kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba pale kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
 
Sasa jambo hilo linampaje mtu mshituko hadi apelekwe Hospitali! Kwa sababu kufungiwa hakumfanyi mtu kufa wala kupoteza chochote cha maana.
 
Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi zilivyosababisha mama yake mzazi kupata mshtuko na kukimbizwa hospitali.

Amesema hayo wakati akizungumza na Wasafi FM, leo Machi 7, 2025 siku moja kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba pale kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
Hii TFF ina double standard sana 🚮
 
Attachments

  • 20250307_101735.jpg
    20250307_101735.jpg
    187.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom