Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano


Hayo unaandika yanao onekana kwa sababu Tanganyika imo ndani ya muungano..sasa Tanganyika ndio muungano na Tanzania ndio Muungano.

Tukizungumzia mapato ...inabidi tujue yana toka wapi ...bila ya shaka ni kodi..kodi anakusanya nani? Muungano...anakusanya kutoka vyanzo gani ? Vyanzo vya Kodi vyote ni vya Muungano...Ikiwa Ni Visa , Kodi za Simu Hapa Tigo au Voda huwa zinalipa VAT ina inalipwa kwa MuUNGANO. Ya zantel ilizaliwa Znz lakini sio kwamba mapato yalikua yanakwenda Znz ...ni share tu ilikuwapo ya SMZ. ..lakini walikuja bongo bila ya shaka soko kubwa la watu ..lakini wanaofaidi sio Znz , kodi za propmotion zinaenda Bongo...na Vat zote Muungano

Kuna Grants Tanzania Inapewa kutoka njee kwa njia mbali mbali ikiwamo budget support znz ndio inatengewa hio 4% ...lakini bajeti ya kote zaidi ya 35% ni tegemezi...hivyo wanapata suppoirt ..jee hio wanayopata znz inaziba pengo hilo 35% bila ya shaka hapana sio lolote...wao hawaruhusiwi kuomba msaada...

issue nyingine ambayo znz ni ujinga kukubali ...ni issue ya sarafu...
Tanganyika wakati wa kuporomoka uchumi wakafanya mazungumzo na IMF Ili kupata Misaasa na mikopo.....Sharti walopewa ni kushusha Thamani ya Shillingi.... na sarafu ikashushwa kwa asilimia zaidi ya 57% na Tanganyika wakapewa fedha za kusaidia bajeti na fedha za kigeni ambazo walikua hawana pamoja na mikopo ...hii ilikua IKIJUILKANA KAMA SAP..Fedaha hii ikashuka upande wa pili hawakuwamo katika program ya IMF hawakufaidika na mapatano yale isipokua kupata machungu tu ya kushuka kwa fedha ...

Hapa tatizo sio wao ..walikua walipwe fidia ..hawakupata hayo..uchumi wao kuanzaia hapo ukaanguka vibaya mno ...na mpaka leo thtamani ya shiling inaanguka wala hakuna fidia huku wanao sababisha kuanguka thamani ni Tanganyika....huu ujinga unakubalika na wachumia tumbo tu...halafu anakuja mtu anasema kuchangii.....kwani Tanganyika inachangia nini katika mambo ya kwake ndani ya koti la muungano ? hamna.

Unajua ungetenda haki na ally kessy angeshauri chama chake kiachane na znz ...hakuna faida tunawalisha tu.tuvunje muungano...Miaka 5 tu inatosha kuifanya znz ...nchi bora zaidi africa...Muungano una faida ..lakini znz wameingia na wrong partner...bora tungekua Kenya..tungekua mbali
 

hizo za kuhudumia ni akili za kitoto hakuwezi kuwa na arrangement kama hizo. hapa ni nchi 2 zimeuangana ...na nusu kwa nusu...tunagawana..hamtaki hivyo basi
 
Ikiwashinda si muiache tu iwe kivyake iyo znz.kejeli kwa wana ccm wenzako za nn?ingawa limewauma japo hawawezi kuongea lolote wabunge wa ccm kutoka znz.
 
hizo za kuhudumia ni akili za kitoto hakuwezi kuwa na arrangement kama hizo. hapa ni nchi 2 zimeuangana ...na nusu kwa nusu...tunagawana..hamtaki hivyo basi
Nusu kwa nusu!
Jeshi mtaweza kulihudumia hata siku tatu
Mtaweza kuendesha wizara ya mambo ya ndani kwa wiki
Mtaweza kuendesha ubalozi hata mmoja
n.k

Hawawezi kulipia mgonjwa iwe nusu kwa nusu.
Hawawezi bili ya umeme iwe nusu kwa nusu.
Hawawezi kudumia hata balozi moja, leo nusu kwa nusu
Hawawezi kulipia wabunge wao, halafu iwe nusu kwa nusu
Hawawezi kulipia wanafunzi wao, leo wanataka nusu kwa nusu

Ni watu milioni 1 na nusu wanaishi Tanganyika

Unachekesha sana, ndio maana unasema znz inachangia kupitia vocha za simu

Weka namba kwa bajeti ya bilioni 900, znz itatoa nini.
Kwa makusanyo ya bilioni 300 kwa mwaka znz itatoa nini

utoe 0 nitoe 10 halafu useme tumechanga! tugawane nusu kwa nusu! tehe tehe

Kwaheri
 
Huyu Mbunge alishawahi kusema unaweza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutumia Baiskeli..


Hawa Wabunge kwanini wasitulie kwao????
NAONA MNAPATA TABU YA BURE...NYINYI KAMA HAMUITAKI ZANZIBAR MBONA NI RAHISI TU,CHAKUFANYA MUSILETE MAJESHI SIKU YA UCHAGUZI!!MNALETA MAJESHI YENU HUKU HALAFU MNASEMA ZANZIBAR INATUNYONYA!!!PUMBAVU WAKUBWA!!!
 
SIKUSHANGAI NDO MAANA PROFILE YAKO UMEWEKA PIC YA MNYAMA KWASABABU UNA AKILI SAWA NA HUYO MNYAMA...PUMBAVU...ISHIRIKISHE AKILI YAKO UNAPOTAKA KUCHANGIA!!!
 
It doesn't matter nikiwa ni mzanzibari au mkenya au mtanganyika au Mtanzania, acheni kulialia na hii kitu. Bunge la muungano sio la Tanganyika. Si waunde hilo la tanganyika wawatoe hao wazanzibari kero ikaisha! Huku kulialia kama kuku hakutosaidiakitu kwavile Sheria inawaruhusu kuwa hapo bungeni.
 
Kwenye page ya gazeti la mwananchi fb hii video inaonesha Janury Makamba ameingilia kati

Lazima January makamba aingilie kati kwa sababu yeye hujinufaisha kupitia fedha zinazotoka Hazina kwenda Zanzibar pia Kipindi cha uchaguzi wa Zanzibar alipiga pesa ndefu kupitia kikundi chake cha Uchakachuaji akiona mtu anagusa Zanzibar lazima ang'ake sana maana huko ndipo anavuna pesa nyingi, mfano sasa anapiga Dili la sukari kupitia vibali vya Zanzibar baada ya kuona vibali vya ikulu wameanza kumshitukia kahamia Zanzibar ambapo mpaka sasa katengeneza pesa nyingi tayari.
 
Mzee kesi kwa hili la Zanzibar nakuunga mkono kwa 1000%
 

Muungano kwa sasa hauna faida kwa Tanganyika bali umekuwa ni mzigo mkubwa na mzito, kule Zanzibar wamelundika Utitiri wa wabunge, madiwani na watumishi wa umma, yaani wengi kupita kiasi huku pato lao la Zanzibar likiwa Dogo sana haliwezi hata kuwalipa mishahara nusu ya Watumishi wao

Tanganyika inabeba mzigo wa kuwalipa mishahara, kuwalipia Bill za Umeme, maji na Kodi za nyumba za viongozi pia kuwalinda na majeshi kwa gharama kubwa, Ally kessy katema nyongo, Ukweli unauma na hii itawauma kweli kweli na huenda ikaleta migogoro mikubwa kati ya wabunge wa Zanzibar na Ally kesi.
 
Zanzibar wana Bunge lao la kichoyo hawataki wabunge wa Tanganyika wasogee huko, Inabidi sasa Tanganyika iwe na Bunge lake la wabunge wa Tanganyika tu vikao viwe vinafanyika karimjee Dsm kule Dodoma iwe ni kwa Bunge la muungano wa ajabu uliosalia Afirika.
 
Safi sana maana wakiwa kule kwao visiwani wanaita wenzao machotara na wao wakija huku Bara wanabaguliwa...Tit for Tat
Zanzibar mtu kutoka Tanganyika hawezi kumiliki Ardhi pia hata akienda Ubalozi mdogo wa USA au UK kuomba viza hawezi kupewa lakini Wazanzibar wakiwa Tanganyika wanamiliki Ardhi na viza wanapata balozi zote, cha Zanzibar ni cha mzanzibar pekee lakini cha Tanganyika ni cha woote
 
Duuuu hii Kali sasa mbona rahaaaa priiiiiiiiiiiii
Ally kessy kaongea Ukweli mtupu japo wapo ambao hawajui Zanzibar ilivyokuwa watampinga lakini Ukweli utabakia kuwa ukweli.
 
"Wajinga ndio waliwao"
 
Hivi huyu jamaa hawa Wazanzibar walimkoseaga nini??
Maana ye kila siku ni bifu nao tu
Chief inawezekana walimletea dharau manake anawaburuza kweli kweli hawana hamu naye.
 
Hakuna chochote nyie cha kujivunia mmejazana bara km njugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…