Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

And what exactly do you mean? Kwamba maCCM waliikataa rasimu ya Katiba iliyotokana na Tume ya Jaji Warioba is fallacy? What is fallacy?
Usiwahukumu kwa ujumla CCM. Uccm ni tofauti na Mccm. Sijui utaelewa tena!
 
Oneni siasa ilivyokua mbaya.Kessy akiwashambulia Zanzibar kwa maneno makali kambi yake wanamshangilia.Hao wanao mshangilia Kessy ndio wanasema ooo muungano ulindwe kwa gharama yoyote.

Kessy ametumia lugha ya kuudhi nashangaa Mhagama hajasimama
Akiulizwa kesi kuhusu muungano anaweza akasema uvunjwe kwakua amesema wanatunyonya bara.

Kwamaneno ya Kessy nikwamba wabunge wote watokao visiwani hata mtu awe waziri,au mwenyekiti wa bunge akae kwenye wizara za muunganotu.Je nyie CCM waumini wa muungano mmemuelewa Kessy vizuri au mmeshangiliatu.

Mimi sio mzanzibar lakini huo ni ubaguzi,unyanyapaa,udhalilishaji na nilugha ya kuudhi.

Je huyo mwenyekiti hapo sibora angeondokatu

Mhagama kwani unapo lalamika lugha ya kuudhi maranyingi unamaanisha nini?Angekuapo Zungu angemtuliza Kessy maana angalau yeye anaweza kukemea
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sanana madhara yake ni makubwa mno.
 
Manyani wa lumumba wanaanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe hadi raha
 
Nakumbuka kauli ya JKN ukishaanza kubagua tu ni kama kula nyama ya mtu huachi.CCMubaguzi haijaanza kwa Kessy siku nyingi,Kwa ubaguzi kama huu hatujengi bali tunabomoa.Ni bora CCM wangemsikiliza Warioba,lakininajiuliza Kama Kessy alisema serikali moja basi haya anayoyaongea ni upupu mtupu.

Pili kama Naibu Spika hakumtaka anyamaze basi hata Naibu Spika anakosea.
 
Poleni Watz wenzangu kwa kutotambua mbaya wenu mi nani.Matatizo yote haya yameletwa na ccm mf.ukiwauliza wanaccm wa bara faida za muungano ni zipi.jibu lao ni moja tumeoleana utadhani kuoleana ndo faida za muungano mbona mimi mjomba wangu ameoa Zambia kwanini tusiungane nao hao.

Nirudie kwa kusema matatizo ya haya yote ni ccm
 
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Nani aitishe, si kuna serikali Znz na si kuna watu wake, sisi hata leo mkitaka kukitoa bye bye!!!!
 
Kosa la Kessy ni kuongea ukweli wote ... Kama
Donald Trump ... Ally Kessy ndio Donald Trump wa Tz
 
Nakumbuka aliwahi kusema kwamba unaweza kuwaita wazanzibari wote kwa filimbi na wakasikia.
No,alisema wabunge wa Zanzibar wanawakilisha wananchi wachache,ukipiga filimbi wote wanakusanyika!
 
Usiwahukumu kwa ujumla CCM. Uccm ni tofauti na Mccm. Sijui utaelewa tena!

Sijaelewa. So, Ally Kessy ni miongoni mwa MaCCM waliounga mkono Rasimu ya Katiba iliyotokana na Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba. Right? That is the information I am looking for.

In my book, MaCCM (except waliokuwa kwenye tume ya mabadiliko ya Katiba, ambao waliishia kubezwa na wenzao) wote waliipinga rasimu ile.
 
Safi sana maana wakiwa kule kwao visiwani wanaita wenzao machotara na wao wakija huku Bara wanabaguliwa...Tit for Tat
 
Ally Kessy akae akijua kwamba Zanzibar uchumi wake unaweza kukua kwa mwaka 1 tu basi yaonekana hata Geografia hajui huyu mbunge tena naongezea kisiwa cha Zanzibar ni chaina yake hakina zaruba ya vimbunga vya asili ccm acheni kuikalia kimabavu muone kama haitapiga hatua kimaendeleo haraka
 
Njia pekee ya kuondoa muingilio wa Wazanzibar kwenye masuala yasiyowahusu ni katiba mpya kama ilivyokuwa imeratibiwa na team ya Judge Warioba!.

Mengine haya ni mbwembwe tu na matumizi mabaya ya muda wa bunge. Huyu kessy mimi namwitaga Kessy Popo.
Kuna hoja ndani ya kauli za Kessy

1. Mgonjwa apelekwe kutibiwa na SMZ, bili atupiwe mlipa kodi wa Tanganyika
Hivi hapo kuna matumizi ya fikra kweli

2. Ndiyo yale ya kuwasha umeme miaka nenda rudi, bili anatupiwa mlipa kodi wa Tanganyika. Mazoe yao ni kutupa bili zao Tanganyika licha ya mzigo wa bili zao tulioubeba tayari. Isije kufika wakati mtu anaoa mahari ilipwe na Tanganyika!

3. Wanataka mawaziri sawa. Mawaziri wanahudumiwa na Tanganyika
Wao hawana mchango, usawa ni wao kutuletea majina ya ajira!!

4, Wanataka mabalozi, wameambiwa wakipewa balozi na ubalozi mzima uhudumiwe na SMZ. Hawataki wanataka kuleta majina ya ajira tu

5. Kessy kawaambia ukweli, ya Tanganyika watoke nje hayawahusu.

Hivi mbunge wa znz anakagua hesabu za halmashauri za wilaya au taasisi zisizo za muungano inamhusu nini. Wao wamegeuza Tanganyika soko la ajira bila gharama

6. Hao wabunge wanaolalamika kuonewa, wamevaa makoti tu wakaja Dodoma.
Hawajui bei ya tiketi au kitu kingine

Hapana, wakati umefika wawajibike kwa wananchi wao.

Leo wanadai mabalozi hawajui watoto wao wanalipiwa na nani ada za bure.

HESLB sasa inatosha, hatuwezi kulipa kodi za kusomesha watu bure znz baba zao wakiwa bize kudai nafasi za ubalozi. ZHESL ichukue jukumu la kusomesha watoto wao

SMZ itupunguzie mzigo, ilipe wabunge wa ZNZ wanaokuja Dodoma.

La sivyo walipwe siku mambo ya muungano yatajadiliwa .
Tunalipa kodi kuhudumiwa wabunge kwa mambo yasiyowahusu

Jamani, kuhudumia watu milioni 1 kwa gharama kubwa kama hii inachosha

ZNZ haina mchango, inachukua kuliko eneo lolote lile la JMT.

Kessy kawaambia ukweli na ukweli mtupu
 
Ally Kessy akae akijua kwamba Zanzibar uchumi wake unaweza kukua kwa mwaka 1 tu basi yaonekana hata Geografia hajui huyu mbunge tena naongezea kisiwa cha Zanzibar ni chaina yake hakina zaruba ya vimbunga vya asili ccm acheni kuikalia kimabavu muone kama haitapiga hatua kimaendeleo haraka
Inaweza kupiga maendeleo sana tu. Lakini kwa mawazo haya ya kudai ajira za mabalozi badala ya kufikiri mambo makubwa zaidi nina shaka.

Kwa mwendo wa kudai bili ziletwe Tanganyika, ninashaka sana.
 
Hakuna shida. Wakiongelea ambayo sio ya muungano wote watoke. Kwani hili bunge la muungano na la tanganyika halipo wakawa wanaongea ya tanganyika pekee yao.
Kwanza tafuteni bunge la tanganyika mlipate....Kwa sasa halipo na tanganyika haichangii kitu ..fedha hizi ni za muungano hivyo tutabanana tu..hamtaki tuacheni tumu mue
Wewe fedha za muungano ! ati
Utoe 0 nitoe 10 halafu useme tumechanga!

Tuonyeshe kwa namba wapi znz inachangia muungano!

Kesi kawaambiwa ukweli, mkitaka mabalozi mchukue na ubalozi wote muuhudumie

Mabalozi mtakaopewa hata kama ni nusu hawazidi 10. Mnajadili ajiri za watu 10 badala ya ajira za vijana maelfu. Mnapeleka wagonjwa bili Tanganyika, mnatumia umeme bili Tanganyika. Hapana ifike mahali hata vibili vidogo mjitahidi. Mzigo mzito tunao sisi
 
Back
Top Bottom