wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 985
Kwani ukiwa CCM unapoteza uzanzibar? Sikiliza unposema vibaraka wa znz au wenye asili ya Tanganyika tayari unaleta uibaguzi kama ule wa uchotara. Angalia shilingi pande zote ndugu yangu
Wznz walio wengi kinawashinda nini? Mwiteni makamu wa Rais arudi nyumbani, na wale wa Dodoma wasije. Walioko taasisi za uungano warejee nyumbani. kipi kigumu
ccm wote wamepoteza sifa ya kuwa wazanzibari kwa kuwa wao hata kama wanatukanwa hawajali... wanachojali ni matumbo yao tu yanajaa sasa hivi... kwani huyo kessy alianza leo hayo masimango?