Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Kwani ukiwa CCM unapoteza uzanzibar? Sikiliza unposema vibaraka wa znz au wenye asili ya Tanganyika tayari unaleta uibaguzi kama ule wa uchotara. Angalia shilingi pande zote ndugu yangu

Wznz walio wengi kinawashinda nini? Mwiteni makamu wa Rais arudi nyumbani, na wale wa Dodoma wasije. Walioko taasisi za uungano warejee nyumbani. kipi kigumu

ccm wote wamepoteza sifa ya kuwa wazanzibari kwa kuwa wao hata kama wanatukanwa hawajali... wanachojali ni matumbo yao tu yanajaa sasa hivi... kwani huyo kessy alianza leo hayo masimango?
 
Mimi naona tunauhitaji muungano japo wadau wa muungano wanapaswa kuamua wenyewe waungane kwa mfumo upi na sio yale mambo ya uchawi wa kuchanganya udongo.
Muungano huu umeingia mikikimikiki na bado upo,hii ni ishara kuwa unaweza pia kuhimili referendum.
Hatuna haja ya kuendelea kuuweka vidonda japo tuna fursa ya kuutazama upya.
Kama Nchi za Ulaya zenye nguvu zinaungana kwaajili ya usalama na uchumi, na sisi wachanga hatuwezi kukwepa.
Tuupinge ule uchawi wa kuchanganya udongo, tuanzishe muungano wa kisasa na wenye faida kwa pande zote.
Muungano utakaodumu unatakiwa uwe wa watu kwa manufaa ya watu, kamwe usiwe wa viongozi. Rasimu ya Warioba ilitoa mapendekezo mazuri kuhusu muundo wa muungano lakini kwa sababu ilitishia kupunguza nguvu ya watawala wakaanzisha mizengwe na kuibadilisha maudhui yote.

Wascotish wanahoji muungano wao na England, catalonia nao wanahoji, ifike mahala wananchi wawe na kauli ya mwisho kuhusu muungano si bunduki na vifaru
 
Shida ipo zanzibar tukidai kujitenga wanatuzingua ila wakiendelea na kauli tAta bAsi nasi tutadai haki zetu kwa nguvu zote
 
Huyu Kessy bado sijajua ana chuki gani na Wazanzibar maana kila Kikao lazima aje na neno zito kuhusu Zanzibar.
 
Hahahaaa huyu mzee bhana...ameeleza ukweli hata hivyo
 
ccm wote wamepoteza sifa ya kuwa wazanzibari kwa kuwa wao hata kama wanatukanwa hawajali... wanachojali ni matumbo yao tu yanajaa sasa hivi... kwani huyo kessy alianza leo hayo masimango?
Ukweli si masimamngo, unabaki kuwa ukweli ndiyo maana nimekuomba unipe namba za miezi 3 tu uiliyopita mchango wa znz ni upi?

Nikauuliza mgonjwa apelekwe nje na wizara ya afya ya SMZ, bili alipe Mtanganyika, hiyo sawa?

Nikakuuliza watoto wa znz wanasoma bure, wanaolipa kodi bara wanadaiwa, hilo sawa?

Nikakuambia kugawana mabalozi sawa, 10 watatoka znz. Lakini pia znz ihudumie balozi hizo

Nikaongeza, wale wabunge wanaosema hovyo wanalipwa na SMZ? Wanaonewa wapi?

Ajira za muungano ni za Tanganyika bado wznz wanalipwa PAYE kwa kupunguziwa mzigo wa unemployment, wapewe nini Zaidi?

Mbunge Kessy anawaeleza ukweli, ukweli mtupu. Zama za 'tutavunja muungano' zimekwisha.

ZNZ sasa isimame kuchukua dhamana ya watu wake, taasisi zake na mambo yake. Kule wasikoweza tutawasaidia, wanapoweza japo kidogo watusaidie maana mchango haupo

Natamani tungekuwa na Kessy wengi wa kuwapa ukweli.
 
Sawa naiwe yote hayo unayosema ni kweli ...ila swali ni kwa nini serikali ya muungano ikubali kutokuifanyia usawa Tanganyika na badala yake ikubali kuibeba Znz kiasi chote hicho ? kuna ambalo hatulijui ? what is behind the scene ?
 
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.

Je unahakika na madai yako? Nyerere alikuja Zanzibar? kati ya bara na visiwani nani anashida na mwenzie? hata kwa macho unaona. Wewe punguza EGO yako jua nyinyi si lolote halafu kaa kimya Msidai usawa bali uwiano maana wote mnakuja UDSM kusoma ulisikia mbara anasoma Zanzibar?

mnapata mikopo huku na mnanunua aridhi huku mtu wa bara hawezi nunua ardhi kisiwani wewe hiyo huoni unaongea uongo wa utalii, utalii sio jambo la muungano acha hizo properganda zako
 
kwenye bunge la katiba ni alipiga makelele hayo hayo na baadae kwa sauti kubwa akaunga mkono ule uvundo wao. aache unafiki kama kweli ana la maana asingeunga mkono ule uvundo walioupitisha. Msitusimange wazanzibari hatuna haja wala shida ya centi zenu...wenye haja na hizo centi ni hao hao vibaraka wanaotumiliwa na ccm... mbona tunadai uhuru wetu siku nyingi mmegoma kutuachia...?
Kwenye bunge la katiba alisema anataka serikali tatu, ila wazanzibari muache unafiki mnajua wazi huu muungano unatetewa nakulindwa kwa jinsi ulivyo na CCM, inakuwaje kwenye uchaguzi kwa wingi wenu hamuipigi chini ikose majority?
 
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Kaka naomba ufafanuzi hivi machogo ndio kina nani na hili neno lina maana gani? Maana Mimi nawajuwa vitimbakwiri tu
 
kwani Zanzibar ina balozi ?
mnaodhani Zanzibar ni tegemezi kwa Tanganyika vunjeni Muungano..
Zanzibar ilikua na uchumi unaolingana na Mauritius..
ila baada ya bara kulazimisha mambo ya kiuchumi ya msingi ya Zanzibar kuingizwa kwenye Muungano ndio ikawa nuksi..
iachieni Zanzibar ijitawale..
mbona hamkomi kupeleka mazombie nyakati za uchaguzi eti muendelee kuifanya Zanzibar koloni..
Zanzibar kumejaa Watanganyika wanakusanya kodi na kuzipeleka bara lakini bara hakuna mzanzibari anaekusanya kodi na kupeleka zanzibar...
Bara tunanufaika nini na Zanzibar? sema tuu
 
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.

na mbado! tatizo wa zanz mpo kama mazuzu hamuelewi A wala Z , tutaendelea kuwafanya vijakazi wetu milele na viongozi pia tutawachagulia , mkileta fyoko jeshi linahamia huko hadi mnyooke. Usijali tutaendelea kuwalisha pamoja na wake zenu maana kazi mnayoweza ni kukaa vibarazani tu.

Swala la REFERENDUM sahau kabisa na haitatokea. Mtaendelea kuwa koloni letu hadi mtapojitambua
 
Kwenye bunge la katiba alisema anataka serikali tatu, ila wazanzibari muache unafiki mnajua wazi huu muungano unatetewa nakulindwa kwa jinsi ulivyo na CCM, inakuwaje kwenye uchaguzi kwa wingi wenu hamuipigi chini ikose majority?

siwezi kujibu hili swali ...inaonekana ama hupo Tanzania au huelewi/hufuatilii kinachoendelea. nahisi nitajipotezea muda wangu bure hapa.
 
wagagigi, post: 16362160, member: 263409"]siwezi kujibu hili swali ...inaonekana ama hupo Tanzania au huelewi/hufuatilii kinachoendelea. nahisi nitajipotezea muda wangu bure hapa.
Niko Tanzania na najua kinachoendelea na tutaendelea kuwaelimisha unless mkajifungie chukwaani
 
Kwa nini wasiwaache waende? Ya nini kuungana kwa masimango? Kwa nini wanajidai kuupenda muungano ila watu wake hawa wapendi? Unataka muungano ila hutaki kuchangia sawa na mwenzako kwa nini? Wawaache waende jamani wasiwaumize kwa maneno ya kipuuzi kila uchao.

Si hawana faida? waacheni waende.
 
Kuna nchi mbili na serikali mbili tu,Zanzibar na Jamhuri ya MUUNGANO ya Tanzania.
Labda Kessy atueleze wazanzibari wakitoka nje ya bunge,yeye na watakaobakia ndani wataendesha vikao kwa mwamvuli wa serikali ipi?

Hilo ni bunge la Jamhuri ya Muungano,wakiwekwa kando wazanzibari linalobakia litaitwa bunge lipi na wapi linatamkwa kisheria?

Ipo siku mtarudi kwa Warioba mnatambaa,natamani siku hiyo huyu mzee angalao awatandike makofi!
 
Ally Kessy aliunga mkono au alipinga Rasimu ya Katiba iliyotokana na Tume iliyoongozwa na Jaji Warioba? Mambo haya yalijadiliwa na kuchambuliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. MaCCM wakakataa rasimu ambayo ingekuwa dawa ya mapungufu anayoyaeleza Kessy. Sasa kuja kusema Wabunge kutoka Zanzibar wawe wanatoka nje wakati wa kujadili mambo ambayo si ya muungano ni upunguani.
Quick response. Usitumie fallacy kumtafakali Ally Kessy. Bettry ya simu ikiwa mbovu nunua mpya weka kwenye simu.
 
Oneni siasa ilivyokua mbaya.Kessy akiwashambulia Zanzibar kwa maneno makali kambi yake wanamshangilia.Hao wanao mshangilia Kessy ndio wanasema ooo muungano ulindwe kwa gharama yoyote.

Kessy ametumia lugha ya kuudhi nashangaa Mhagama hajasimama
Akiulizwa kesi kuhusu muungano anaweza akasema uvunjwe kwakua amesema wanatunyonya bara.

Kwamaneno ya Kessy nikwamba wabunge wote watokao visiwani hata mtu awe waziri,au mwenyekiti wa bunge akae kwenye wizara za muunganotu.Je nyie CCM waumini wa muungano mmemuelewa Kessy vizuri au mmeshangiliatu.

Mimi sio mzanzibar lakini huo ni ubaguzi,unyanyapaa,udhalilishaji na nilugha ya kuudhi.

Je huyo mwenyekiti hapo sibora angeondokatu

Mhagama kwani unapo lalamika lugha ya kuudhi maranyingi unamaanisha nini?Angekuapo Zungu angemtuliza Kessy maana angalau yeye anaweza kukemea
Ama kweli mkosoaji wako hawezi kuwa rafiki. Angea wa oppostion usingemsema
 
Back
Top Bottom