wagagagigi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 890
- 985
Kama hawana asili ya tanganyika basi ni wanatumiwa na serikali ya tanganyika kwa manufaa ya tanganyika.Hao walioko madarakani huko znz ni Watanganyika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawana asili ya tanganyika basi ni wanatumiwa na serikali ya tanganyika kwa manufaa ya tanganyika.Hao walioko madarakani huko znz ni Watanganyika?
Hahahaha, kessy ni kiboko ya akina jussa.Huyu Mbunge alishawahi kusema unaweza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutumia Baiskeli..
Hawa Wabunge kwanini wasitulie kwao????
Anaiumbua hata CCM kwa sababu ndio mwasisi wa muungano.Huyu mbunge Kesy huwa anawaumbua sana kisiasa Wazanzibari.
Anatoboa yale ambayo ni dhahiri.
Kwa kweli wengi walisema hawautaki muungano jinsi ulivyo.kwenye bunge la katiba ni alipiga makelele hayo hayo na baadae kwa sauti kubwa akaunga mkono ule uvundo wao. aache unafiki kama kweli ana la maana asingeunga mkono ule uvundo walioupitisha. Msitusimange wazanzibari hatuna haja wala shida ya centi zenu...wenye haja na hizo centi ni hao hao vibaraka wanaotumiliwa na ccm... mbona tunadai uhuru wetu siku nyingi mmegoma kutuachia...?
Ni ukweli mtupu. Huyu kessy aliwahi kusema bungeni kwamba baraza la wawakilishi linatakiwa kujumuisha na wabunge wa bara kama bunge la bara linavyowahusisha wajumbe wa baraza la wawakilishi(kumbuka baraza la wawakilishi ni kama bunge la znz linalojuimuisha wabunge wa ccm&cuf)Poleni wabunge kutoka znz hasa wa ccm
Huo ndio ukweli
Linalo nishangaza ni kuwa Mbunge akiishambulia Zanzibar kama mnufaika wa muungano wabunge wa ccm na kiti cha spika wanafurahi sana na kushangilia.Kuwaponda Wazanzibar Bungeni hajaanza leo.
ok! hapo unaendeleza uchotara bila kujua.Kama hawana asili ya tanganyika basi ni wanatumiwa na serikali ya tanganyika kwa manufaa ya tanganyika.
kwenye bunge la katiba ni alipiga makelele hayo hayo na baadae kwa sauti kubwa akaunga mkono ule uvundo wao. aache unafiki kama kweli ana la maana asingeunga mkono ule uvundo walioupitisha. Msitusimange wazanzibari hatuna haja wala shida ya centi zenu...wenye haja na hizo centi ni hao hao vibaraka wanaotumiliwa na ccm...Hapaana! anawaambia ukweli
Hao wznz wako Dodoma hawajui gharama za uwepo wao
Huku bara wanakuja Zaidi ya 80, BLW wapo 50.
Wanataka nafasi za ubalozi, hivi SMZ inachangia nini katika kuendesha balozi 21 zilizopo.
Kama wanataka nafasi za ubalozi, basi waombe kugharamia balozi watakazokuwa na balozi mzanzibar. Siyo watake vyeo wakimbie gharama
Kessy kaongea ukweli, mambo yasiyowahusu wanayaongelea yanawahusu nini?
Wanalalamika mgonjwa hakutibiwa na JMT, kwani wizara ya afya ni suala la muungano!
Wanadai nafasi za muungano sawa, hivi znz yenyewe inatoa ajira za muungano ngapi
Halafu wamejazana katika maeneo yasiyowahusu kama wizara zisizo za muungano
Wanataka mgao wa 4.5 wakati huo huo wanataka na kile kisicho cha muungano
Kessy kawaambia ukweli, wakati umefika tuwaambie ukweli.
Muungano ni gharama tushirikiane, si eneo la kuzalisha ajira au kutoa mafao kwa znz.
Znz ili iwe na heshima ni wakati sasa wakiongelea muungano wasidai tu watuambie na eneo gani wanasaidia. Tumechoka kusikia madai tuu hakuna mchango wowote
Hiyo 4.5 ni pato la Tanganyika, bado wanataka na inasikitisha wanataka kugawana sawa
Wakiambia wenzetu mnaleta nini mezani, wanakimbiaa. Utegemezi huu unachosha
Kwakweli afadhali amepatikana mwenye uchungu na kodi zetu
Watu milioni wanachukua sehemu kubwa sana ya kodi zetu. Hivi Dar na znz zina ulinganifu kwa jambo gani kiasi znz ipate takribani mara 20
Ahsante Kessy, Ahsante sana. Wakiwa Dodoma watulie na kusubiri watakacho zawadiwa,
Hiyo ni kweli unaweza kuzunguka kwa baiskeli isipokuwa utatumia muda mrefu, mimi na rafiki yangu tulizunguka zanzibar yote kwa gari tulitumia saa mbili na robo tukamalizia kwenda Tumbatu na boti
Kuna siku alisema unaweza kuwakusanya wazanzibar wote kwa kupiga filimbiHuyu Mbunge alishawahi kusema unaweza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutumia Baiskeli..
Hawa Wabunge kwanini wasitulie kwao????
ok! hapo unaendeleza uchotara bila kujua.
Ni hivi, wznz wanalalamika mgonjwa kapelekwa na SMZ kutibiwa wanataka bili alipe Mtanganyika, hivi hawa wenzetu wanafikiri nini kuhusu muungano?
Halafu wanataka mgao wa mawaziri sawa, come on, mzanzibar wizara ya kilimo, mali asili, maji na mifugo inamhusu vipi. Huko halmashauri za miji wapo kwa kuhurumiwa sasa wanataka kufanya haki yao. Wizara za muungano zinajulikana na ndizo watapata fursa.period
Gharama za kuihudumia znz ni kubwa kuliko majjiji Zaidi ya Tanganyika yenye eneo kubwa, uchumi mkubwa, na mchango mkubwa kwa Taifa. Hali hii hadi lini?
Wapewe wanachostahili siyo wanachotaka. Wawajibike kwa watu wao, inapofikia mahali hata wagonjwa wao wanataka bili za walipa kodi wa Tanganyika inakera sana.
Wahudumie watoto wao kwa kuwapa mikopo ya masomo si kutafuta nafasi za ubalozi
Kessy kawapa ukweli, znz inaweza kuhudumia ubalozi hata mmoja! Wanajua gharama za ubalozi.
Wabunge wa znz wanakuja kwa uzanzibar wao na SMZ ishapewa mgao wake, ihudumie watu wao wanaokuja kutetea znz si kutuletea kauli za maudhi wakitumia kodi zetu
Hongera Kessy, unayosema ndiyo tunayoyaona. Hongera sana kwa uchungu wa kodi zetu
Tunataka kuona mchango wa znz kwa namba, na kwamba muungano si maneno ni ushiriki wa kitu mkononi.
Mbavu zangu mie a hahahahaa a!Nakumbuka aliwahi kusema kwamba unaweza kuwaita wazanzibari wote kwa filimbi na wakasikia.
Kwani mlinyimwa uhuru na nani? Uhuru unaweza kupatikana kirahisi.kwenye bunge la katiba ni alipiga makelele hayo hayo na baadae kwa sauti kubwa akaunga mkono ule uvundo wao. aache unafiki kama kweli ana la maana asingeunga mkono ule uvundo walioupitisha. Msitusimange wazanzibari hatuna haja wala shida ya centi zenu...wenye haja na hizo centi ni hao hao vibaraka wanaotumiliwa na ccm... mbona tunadai uhuru wetu siku nyingi mmegoma kutuachia...?
Kwani ukiwa CCM unapoteza uzanzibar? Sikiliza unposema vibaraka wa znz au wenye asili ya Tanganyika tayari unaleta uibaguzi kama ule wa uchotara. Angalia shilingi pande zote ndugu yangunimewaelewa pamoja na uchotara wangu...point yangu ni kwamba wazanzibari tulio wengi hatuutaki huu muungano wa kulalamikiana laiti kama ccm wasingekuwa wanawabeba hawa wahafidhina kwa manufaa yao binafsi, tungekuwa tumefika mbali sasa hivi na wala kusingekuwa na ugomvi wala shida yoyote kwani kila upande ungejua mipaka yake. tusilaumiwe wazanzibari la kufanya ni mtusaidie tupate uhuru wetu basi tutawaachia salama usalimin na tanganyika yenu.
Itakuwa mlizunguka unguja tu,ila Pemba hamkufika na visiwa vidogo vidogo.Hiyo ndo tafsiri ya Zanzibar.Hiyo ni kweli unaweza kuzunguka kwa baiskeli isipokuwa utatumia muda mrefu, mimi na rafiki yangu tulizunguka zanzibar yote kwa gari tulitumia saa mbili na robo tukamalizia kwenda Tumbatu na boti