Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu angekuwa ni mh lisu sasa hivi angeshatolewa nje na mapolisiTulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu angekuwa ni mh lisu sasa hivi angeshatolewa nje na mapolisiTulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Hapo ndio ukomo wa akili wabunge wa CCM ulipo ishiaHuyu Mbunge alishawahi kusema unaweza kuizunguka Zanzibar yote kwa kutumia Baiskeli..
Hawa Wabunge kwanini wasitulie kwao????
Kessy na lusinde ndio vichwa ndani ya CCMkwa hilo kessy angalau kajitaidi...
Kwahiyo huo ndio ujanja?ama kweli CCM mmeishiwa mipangoHuyu mbunge Kesy huwa anawaumbua sana kisiasa Wazanzibari.
Anatoboa yale ambayo ni dhahiri.
Hawezi kuwa tofauti na maagizo ya mwenyekiti wa chamaMsimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
Umeonaeeeeee? Hao ndio wabunge tegemeo wa CCM!Cha ajabu utakuta anapendekeza serikali mbili....haha ni unafiki tu.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
We mZenj nini?!! Unafaidi mazao ya Bara huku ukingoja uachiee huru! Kuna mtu kakushikilia ktk Muungano? Ondoka Bunge la Jamhuri, chukua na Vuai na Rukhsa na akina ----- peleka kwenu. Kuna atakayewalilia? Kwanza wengine majambazi wanauza hata unga bara. Aibu kubwa!Waachiwe huru kama kweli mumechoka kuwabeba. Acheni kulialia kama kuku anaetaka kutaga.
Waachiwe huru kama kweli mumechoka kuwabeba. Acheni kulialia kama kuku anaetaka kutaga.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
alinusurika kupigwa na wabunge wa zenji baada ya kusema wanalialia wakati serikali ya muungano inawatunza wao na wake zao, kwanza kanchi kenyewe kadogo kiasi mbunge unawaita wananchi kwa filimbi.Msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
OIC hata Comorro ni mwanachama lakini hadi leo hajafaidika... au bado unamawazo ya Chakupewa kama Mwanamke anayeombea kupata bwana mwenye Pesa...ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Msimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
Duuh! kumbe wilaya ya Kisarawe ni kubwa kuliko Zenj.Hiyo ni kweli unaweza kuzunguka kwa baiskeli isipokuwa utatumia muda mrefu, mimi na rafiki yangu tulizunguka zanzibar yote kwa gari tulitumia saa mbili na robo tukamalizia kwenda Tumbatu na boti
Hapo ndo pa kujiulizaMsimamo wake ulikuwa ni upi kwenye Katiba ya Warioba.?
Kessy anawaambia ukweli, ahsante sana. Tumechoka