kwemanga1
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 839
- 599
Hahahahaaa!!!Tulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa!!!Tulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Mbunge wa Nkasi Ally Kessy amewataka wabunge wa Zanzibar kuacha kung'ang'ania kupata nusu kwa nusu kila kitu na bara kwa kuwa wao ni 4% na wanastahili kupata 4% kwenye kila kitu na sio nusu kwa nusu, ameongezea pia gharama za nyingi kama za mabalozi wa nje Zanzibar haiwezi kumudu kulipia hata balozi mmoja ila na wanasaidiwa na bara kwa hiyo walipaswa kushukuru na sio kulalamika
Pia aliwaambia wasiwe wanachangia na watoke nje kwenye bajeti za wizara ambazo sio za Muungano kwa kuwa haziwahusu
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
Huyu hata huo msamiati wakowa unafiki haujui!Cha ajabu utakuta anapendekeza serikali mbili....haha ni unafiki tu.
HahahaNakumbuka aliwahi kusema kwamba unaweza kuwaita wazanzibari wote kwa filimbi na wakasikia.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
Wewe na kessy akili zenu hazina tofautiCCM ni msitu wa Vipaji. Hoja Mujjarab kwa wakati Muafaka.