Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

Huyo ndiye alitoa Kwa mbwembwe jpm aongezewe muda wa kutawala, teeth wakanyakuwa jimbo.
 
Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje wizara zisizo za muungano zikijadiliwa

Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo

View attachment 2978781
Yupo sawa kabisa, lakini tungeanzia juu kabisa kwenye Urais, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wilaya nk. Kwenye maslahi ya Tanganyika obvious Watanganyika watakuwa na uchungu kuliko wageni.

Kwa hiyo Wageni kutoka Zanzibar wasishiriki kufanya maamuzi yenye kuathiri maslahi ya watu wa Tanganyika. Mambo muhimu kwa Watanganyika waachie Watanganyika kujadili na kuamua na mambo ya Zanzibar iwe hivyo hivyo waachiwe Wazanzibar.
 
Najiuliza tu, maswali hayo hayo:
1. Wabunge wa Zanzibar wanan mchang gani kwa mambo yasiyo ya muungano?
2. Wabunge wa Tanganyika wana mchango gani kwa mambo ya Zanzibar?

Na hapo ndiyo lazima tuwe na mabunge mawili , yaani
a) Bunge la Muungano
b) Bunge la Tanganyika(Tanzania Bara)
Na ni vyema tukawa na haya mabunge mawili kama ilivy Marekani, Congress na Senate.
 
Inakuwaje Shaka yule katibu mwenezi aliyepita chakula cha watu anakuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika Kilosa wakati ni Mzanzibari. Ana skendo kibao za kuuza, kupora mashamba ardhi kama ndugu yake SSH anavyowapora Wamasai ardhi, na anavyopora bandari, misitu na rasilimali zingine na kuwapa waarabu ndani ya miaka mitatu kwa kadi ya ajabu.
 
Hichi kitu kinakasirisha sana .. kule Zanzibar huwezi kuta mtanganyika anapewa nafasi kama ilivyo kwa wazanzibar
 
Inakuwaje Shaka yule katibu mwenezi aliyepita chakula cha watu anakuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika Kilosa wakati ni Mzanzibari. Ana skendo kibao za kuuza, kupora mashamba ardhi kama ndugu yake SSH anavyowapora Wamasai ardhi, na anavyopora bandari, misitu na rasilimali zingine na kuwapa waarabu ndani ya miaka mitatu kwa kadi ya ajabu.
Hayo yote 9, mwakani anagombea ubunge kilosa.
 
Back
Top Bottom