Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ingekuwa hata kesi kubwa ya uhaini kipindi hichoTulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa hata kesi kubwa ya uhaini kipindi hichoTulia alikuwepo?Sipati picha maneno hayo angeyatamka Lissu.
Yupo sawa kabisa, lakini tungeanzia juu kabisa kwenye Urais, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wilaya nk. Kwenye maslahi ya Tanganyika obvious Watanganyika watakuwa na uchungu kuliko wageni.Tujikumbushe:Kessy ataka wabunge wa Zanzibar watoke nje wizara zisizo za muungano zikijadiliwa
Mfano wizara ya Afya
Wizara ya Kilimo
View attachment 2978781
😁😁Naweza kuizunguka Zanzibar yote kwa baiskeli.Ukipuliza filimbi Zanzibar yote wanaisikia -Kessy.
Hichi kitu kinakasirisha sana .. kule Zanzibar huwezi kuta mtanganyika anapewa nafasi kama ilivyo kwa wazanzibarInakuwaje Shaka yule katibu mwenezi aliyepita chakula cha watu anakuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika Kilosa wakati ni Mzanzibari. Ana skendo kibao za kuuza, kupora mashamba ardhi kama ndugu yake SSH anavyowapora Wamasai ardhi, na anavyopora bandari, misitu na rasilimali zingine na kuwapa waarabu ndani ya miaka mitatu kwa kadi ya ajabu.
Hichi kitu kinakasirisha sana .. kule Zanzibar huwezi kuta mtanganyika anapewa nafasi kama ilivyo kwa wazanzibani
Wazanzibar wanawatawala Watanganyika huko Watanganyika wakiwa bize kuwa chawa.
Uchawa ulipitiliza akaliwa kichwa. Tena ule wa unafiki.Huyu mzee alikuwa kichwa sana,fitna zikamuondoa.
Hayo yote 9, mwakani anagombea ubunge kilosa.Inakuwaje Shaka yule katibu mwenezi aliyepita chakula cha watu anakuwa Mkuu wa Wilaya Tanganyika Kilosa wakati ni Mzanzibari. Ana skendo kibao za kuuza, kupora mashamba ardhi kama ndugu yake SSH anavyowapora Wamasai ardhi, na anavyopora bandari, misitu na rasilimali zingine na kuwapa waarabu ndani ya miaka mitatu kwa kadi ya ajabu.