Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Anajuaje atarudi salama, nkurunzinza hakufikiria kufa mapema namna hii ndo maana alikuwa ameahidiwa masurufu ya kufuru ili mradi tu akubali kuondoka madarakani, wawe wanaweka akiba ya maneno pamoja na jeuri wanayojivunia..
 
Kama vile umekaririshwa mambo ya kuandika humu!!!

Uhuru wa vyombo vya habari upi umeminywa wakati unatumia uhuru huo kuandika hayo? Ni uhuru huo kuna vyombo vingi binafsi vya habari kuliko vya Serikali ambavyo vipindi vyao na mahudhui ya vipindi hujipangia vyenyewe. Uhuru huo wa vyombo vya habari ndio ambao unatumiwa kuwasilisha maoni, lawama, kejeli, matusi (hata ya nguoni), kashfa nk dhidi ya Chama Tawala, Serikali na viongozi wake.
 
Sidhani kama wabunge watakubali kumuongezea muda hizi propaganda za kumsifia Mkulu kwa kuwa ndiyo mwenye maamuzi kipindi hiki,Muda wake ukiisha wengi watashangilia na kumuomba akabidhi kijiti kwa mwingine. Time will tell
 
  • Tatizo LA nchi hii ni Urais wa awamu ya miaka mitano mitano hadi Mara mbili(miaka 10)?Kuna upungufu gani tukiendelea na utaratibu wa sasa?
  • Tanzania yetu,mbona wazalendo wanakuangamiza bila sababu?Mchakato wa Katiba Mpya siyo kipaumbele ila kuongeza au kufuta ukomo wa vipindi vya urais wanalipigia debe na wanajiapisha kulitekeleza.
  • Nani mnufaika wa hoja hiyo,ni Watanzania au CCM na Magufuli?Hiyo ndiyo kazi tuliyowatuma kwenda kufanya Bungeni.
  • Nawasihi Watanzania wenzangu,tuwakatae watu wanaovunja Katiba yetu,wasirudi Bungeni.Wapo kina Ndugai,Ally Messy,J.Nkamia,Lusinde,Mlingwa &co.Hawa ni maadui wa Taifa letu na wanapanga kuiharibu nchi aliyotuachia Mwl.Nyerere,sifahamu kuwa hawa ni wenzetu kweli au wametumwa na maadui wa Tanzania?
 
Kauli kama hizi ni za kijiinga, tusiende mbali zingetolewa Kenya tu ungeona wananchi ambavyo wange-react, ila kwa Tanzania almost nchi nzima imejaa vilaza kitu kama hiki wanakishangilia tena utasikia wanamwita p***y kama huyu shujaa. Alafu wanalalamika maisha magumu 😂sijui mtu anaishi vipi na ukilaza kichwani, inashangaza sana.
 
Mh tunasubiri.
 
Kikwete alikoipeleka nchi kwa kumuogopa Lowassa kumemdhalilisha sana !
 
hapa inaonesha ndugai ananguvu kuliko magufuli, anasema atake asitake,
 
Mkuu Mimi sio masikini,nitoe kwenye kundi hill,niweke kwenye kundi la middle income people, tangu nazaliwa na kukua nimekulia ccm,na ninaona inatuletea maendeleo sasa shida ya nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Bad
Bado kidogo utateliwa kuwa DC.nikisoma nyuzi zako huwa najiuliza ulisoma shule gani ya sekondari ,kidato Cha nne,na Cha sita,kabla hujajiunga na chuo .
Nilisomea shule za evening classes na kuishia form IV nikapata Div. IV, nikajiunga TSJ kupiga Diploma ndipo nikaenda chuo na kutoka na GPA ya 2.1
P
 
Kama ni hivyo kuna haja gani ya kufanya uchaguzi? Serikali inapoteza mamilioni ya fedha kuandaa uchaguzi harafu ubabe unatumika kukibakiza Chama pendwa madarakani?
 
Ongezeni tu muda, si ubavu mnaooo, ngoja niendelee kujilimia matembele yangu hapa kijijini nyambitilwa..
 
Angola Edwardo Santos...alipata kuwa Mungu Mtu...Leo moto unamuwakia hasa...family nzima imewekwa kitimoto ..jamaa alieyeko madarakan yupo kuminya testis za waliopita...Wananchi wabunge mliowapeleka bungeni wamelewa sasa wanapanga kuwakojolea milele!!amukeni sasa PGA chini wote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…