Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vile umekaririshwa mambo ya kuandika humu!!!JPM hajazuia rushwa, alichofanya ni kuminya uhuru wa vyombo vya habari ili visitangaze mambo ya rushwa. Lengo hasa ni kuhadaa umma kuwa hamna rushwa ili akae madarakani atakavyo. Hilo la yeye kutaka kukaa madarakani alianza toka alipoingia madarakani kwa kuwatuma kuna Nkamia. Hii kunajisi chaguzi za nchi hii, ni ili kupata watu watakaomuongezea muda wa kukaa madarakani zaidi ya muda wa sasa wa katiba. Ila mjue mnacheza mchezo bwana hatari ile mbaya. Mchelea mwana kulia ...
Sidhani kama wabunge watakubali kumuongezea muda hizi propaganda za kumsifia Mkulu kwa kuwa ndiyo mwenye maamuzi kipindi hiki,Muda wake ukiisha wengi watashangilia na kumuomba akabidhi kijiti kwa mwingine. Time will tellHiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Mh tunasubiri.Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Kikwete alikoipeleka nchi kwa kumuogopa Lowassa kumemdhalilisha sana !Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
hapa inaonesha ndugai ananguvu kuliko magufuli, anasema atake asitake,Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Mkuu Mimi sio masikini,nitoe kwenye kundi hill,niweke kwenye kundi la middle income people, tangu nazaliwa na kukua nimekulia ccm,na ninaona inatuletea maendeleo sasa shida ya nini?wazee ivi mmesoma shule kweli ? kama mmesoma hamkuelimika wakuu, au mpo kazini ? mnanipa ukakasi wakuu..TANZANIA ni nchi na sio chama na hatufanyi mashindano ya nchi vs chama. Yan kina job ndugai kwake hata maji hakuna na wananchi wamemkataa ila bado ana uhakika kuwa atarudi bungeni mnaona hawa watu wako sawa ? . Aisee mtakufa maskini wa mawazo na fikra..
Nilisomea shule za evening classes na kuishia form IV nikapata Div. IV, nikajiunga TSJ kupiga Diploma ndipo nikaenda chuo na kutoka na GPA ya 2.1Bad
Bado kidogo utateliwa kuwa DC.nikisoma nyuzi zako huwa najiuliza ulisoma shule gani ya sekondari ,kidato Cha nne,na Cha sita,kabla hujajiunga na chuo .
Mambo ya 'politik' huyafahamu vizuri wewe!Mbona yeye alishakataa, unalazimishaje dhamira iliyokataa.
Halafu kumpima rais mzuri ni kwenye kipindi chake cha pili siyo hiki cha kwanza
Mheshimiwa pascal,mimi si mwanachama wa chama chochote hapa nchini ila kwa utaratibu uliopo kwenye katiba ni mzuri na ni utamaduni mzuri kabisa hauna shida yoyote kabisa,unadumisha heshima,amani na utu wa Mtanzania.
Magufuli Ni Jizi Kuliko Hata Kikwete Na MkapaSioni haja ya kulalama rais kafanya makubwa tumwache na tumpe miaka mingine atuvushe,lawama za nini? Au tunataka rais mla rushwa kitu ambacho JPM kakikataa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu ushahidi unao,au unaongea kufurahisha kilinge?Magufuli Ni Jizi Kuliko Hata Kikwete Na Mkapa
CCM wanze kwanza ndani ya chama kwanza kabla ya kuja bungeni ...................!!Kama Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwanini tusiwe na Rais wa kudumu[emoji16]
Nayajua sana, ndiyo maana hata tukio la Mbowe ni mpango mmojawapo wa politic either umepangwa within au njeMambo ya 'politik' huyafahamu vizuri wewe!